SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #925 28-03-2023 19:12:06

<p>Hivi mwanaume akifariki na mkewe akakaa eda na ikaisha je mdogo wake au kaka yake huyu mwanaume anaweza kumuoa huyu mwanaume?</p> <p>&nbsp;</p> <p>Je kama huyu mdogo wake huyu mwanaume aliyefariki aliwahi kunyonya Kwa huyu mwanamke kipindi akiwa mdogo je itajuzu kumuoa?</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 925

MASWALI YANAYOFANANA