Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je overbleeding ni miongoni mwa dalili za HIV??
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 156
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm naitwa mama Sam nikishamaliza kufanya tendo napata maumivu ya tumbo mpk kwenye mkundu Yani na kuwa hata kutembea au kukaa vizuri siwezi
Dokta mm tumbo langu laniuma mda mwengine nikimaliza kula ama nikimaliza kwenda haja kubwa nkikaa na njaa yani huniuma lote naomba sulution
Maji maji meupe ukeni naomba kujua chanzo chake na tiba yake kama mgonjwa anadalili ya fangasi.
Samahani nawezaje kujua week za ujauzito
Habari naomba niulize mtu mweny presha akipewa daw ndo anakunywa miaka yote? Au itakapo kaa sawa anaweza acha dawa nakupunguza chumvi na mafuta
Je kama tumbo linapata joto ila hakuna kuharisha, kichwa kinauma na sehemu ya mbele ya siri inawasha hii ni dalili za ugonjwa ganj