Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tumbo la mtu mwenye ujauzito linauma maeneo Gani na linaumaje yan
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 570
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm kuna dalili sizielewi na ninajisikia kichefuchefu mate kujaa mdomon napia naumwa kichwa bado sija elewa dalili hizi kiukweri naomba msaada
Na ukifanya ngono na mwanamke mwenye virusi pasipo kupata mchubuko wakati wa tendo Kuna uwezekano wa kupata virusi?
Hbr ndugu zangu me Nikimara exprose na nikapewa pep nimetumia mwezi mzima na nimepimwa sina shida ila bado bina wasiwasi sana yangu nimalize dawa leo siku ya pil
Nina wiki mbili hivi nimefanya mapenzi na rafiki ...nina hofu huenda aka ni mgonjwa
Samahan mm napata maumivu baada ya kumarza tendo randoa shda inakuwa nn hasa pia ume wangu unasima kidogo unakuwa meregea hauwi mgum ashda nn hasa
Mie sijapima Kama Nina mimba lakini nina week moja sasa sipo kawaida nikiamka asubuhi najisikia Kama kichefuchefu lakini sitapiki nahisi natumbo Kama linajaa gas