SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #432 21-02-2023 10:43:14
Question Icon

Hbr ya majukumu mpendwa naitaji kupata elimu zaidi ju ya faida za matunda na mbgambga

JIBU

Faida 10 za matundaMatunda na mboga ni muhimu sana mwilini. Kwa mfano: -

 
1. Husaidia kuupa mwili uwezo wa kiasili wa kupambana na maradhi mbalimbali.
 
2. Husaidia kuupa mwili nguvu
 
3. Hukinga mwili kupata baadhi ya magonjwa hatari kama magonjwa ya moyo
 
Faida zaidi za matunda na mboga soma makala hizi hapa chini: -
 

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi