Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari nina tatizo la kiungulia
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 280
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na wiki 36 ya ujauzito ila nasiku kama tano hivi na halisha na tumbo kuuma je niuchungu
Ninatokwa na maji ukeni baada ya kukojoa , na nina mimb ya miezi 7 je shida ni nini?
Je kutoka uchafu meupe ukiwa una fanya mapenzi nini
Mm cjaona cku zangu ila najawa na gesi tumboni mara kwa mara na tumbo kuuma kdgo chin ya kitovu je ni mimba?
Mm n mwanamke nna miaka30 suali langu n hili km nna ttz la homon nn kifanyike ili niwe sawa sabb nahitaji kubeba mimba
Nina miaka 49, mwanamke.nimeenda hospitari nimeambiwa na presha nimepewa vidonge ila bado miguu inauma sio kawaida wiki mbili zimepita naomba msaada nifanyeje