SWALI

Habari doctor naomba kuuliza je kwa mtyu mwenye mzunguko wa siku 28 akishiriki tendo la ndoa cku ya kumi kutoka cku ya kuanza mp mfano mp nmeanza trh 6 then nkafanya mapenz trh 15 je naweza kupata ujauzito na je Kuna dalili ambazo naziona maumivu ya mgongo kwa chini kama panawaka moto kichefuchefu mwili kukosa nguvu maumivu ya tumbo hasa upande wa chini naharisha stool mfano wa makohoz na mapovu lakini uke ni mkavu na no discharge na matiti hayaumi wala kujaa je Kuna uwezekano nikawa mjamzito

Swali No. 506


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 506 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 25-02-2023-15:17:47 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA