SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1000 05-04-2023 10:42:38
Question Icon

Habar docta samahani eti kwa mfano mtu akiwa yupo kwenye dawa ya pep ya kuzuia maambukizi ya ukimwi ata ikitokea amejichoma tena kwenye mazingira atarishi pia inazuia kwasabu unakua ushameza dawa na zipo anaendelea kumeza.

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1000

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi