Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Fangasi wanasumbua uumeni n muda wa week mbili sasa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 295
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani nlinunua kipimo cha hiv nikajipima mwenyewe majibu yalitoka negative lakini baada kama ya lisaa limoja nlipoludi kuangalia kipimo kwa mala ya pili nikakuta kuna msitari1 wa negative unaoonekana vizuri kabisa halafu kuna mistari mingine miwili iliyopimda pinda na haijafika chini jumla inakua mi3
Majibu ya UPT yameonesha Nina ujauzito..ila utra sound inaonekana mji wa mimba ndani yake hamna mtt nashindwa kuelewa kiufupi nimechanganyikiwa..Naomba msaada wa hili tatizo
Samahan naomba kuuliza mimi huwa kabla ya hedhi napata maumivu ya tumbo maumivu hayo yanaweza kuwa ya siku moja Ila siku ambayo hedhi itatoka napata maumivu makali mno na maumivu hayo yatadumu Hadi hedhi ikate na inapelekea mguu wa kushoto kuwa kama unakufa gannzi.naomba nisaidie ni nini hiki?
Mfano kama n wiki ya tatu hii saaa alafu nina vipele kwenye uso na maumivu ya mwili mara moja moja yanatokea maumivu je hio n yenyewe dalili ya ukimwi
samahan mi miguu yangu inauma kwenye magoti kwa chini
Na je siku za hatari kwa mwanamke kupata ujauzito ni hizo nane tu? Ikiwa alipata hedhi tare 1 na kuanzia tarehe 11 Hadi 18 ndizo hatari?