Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Eleza jinsi dini ya uislam unavyoweza kumkomboa mwanaadam na sio venginevyo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 104
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalam alaykoum warahmatullahi wabarakatuh,,,ni Nan anayeruhusiwa kufunga lkn atatoa fidia ya kulisha masikn mmoja kila cku
Asalam aleykum swali langu ni hv ni lazima muoge janaba kabla ya swala ya alfajir mkikutana mtu na mke wake katika funga ya ramadhan
Asalam aleyikum warahmatullah wabarakatuh swali langu ni hivi mimi nimeolewa miaka 8 iyopita ila mwaka juzi mwezi12 Allah akanitahin nimepatatihani wa maradhi ya ganzi yamepelekea kutokutembea mama zamani,mume wangu ameniuguza mpaka mwezi wa 7 mwaka jana akanitelekeza yani aniudumii mimi wala mtoto na nikimpigia simu anaongea hovyo tu nimeamua kumdai talaka ataki kunipa lakini hivi karibuni ameniatamkia maneno Machafu kua ataki kunipa talaka kwakua ajawahi kunioa na ajanopenda hata siku1 mimi nikampiga mshenga na shahidi nao wakajaribu kizungumza nae akawakatia Simu swalilngu je,naweza kujivua kwenye ndoa hii?au nifanyeje mpaka nipate haki yangu ya talaka
Nataka kujua nini mtazamo wa kikafiri juu ya dini
Je vp Kwa mfano mtu katia nia yakuhij lakini kufikiya hile sku ya kuhiji akapoteza maisha je mtu huyo ataesabiwa vp
Je,ni ipi dalili itakayonijulisha kua Leo ni usiku wa lailatu likadri ili niombe hiyo dua?