SWALI:
Dalili za kisukari ni zipi?
Swali No. 1299
JIBUDalili za kisukari ni pamoja na kiu kikubwa, kukojoa mara kwa mara, uchovu, na kupungua uzito bila sababu.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:28:42 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp