SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #412 19-02-2023 15:56:47

<p>Assalam.alykum,sababu za mam aliejifunguwa kuvimba kwa uso</p>

JIBU

Vyema apate uchunguzi wa daktari. Kuvimba kwa uso kunamahusiano na mambo mengi kiafya. Kwa mfano inaweza kuwa na matokeo ya matumizi ya baadhi ya madawa. Ama inaweza kuwa ni aleji ama shida nyingine za kiafya.

MASWALI YANAYOFANANA