SWALI

Asalaam alyka  kwan saa mbli (insha)  ina laka ngap

Swali No. 420
JIBU

Kama inamaanisha swala ile inayoswaliwa saa 2 usiku yaani swala ya insha , hii ina rakaa 4.Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 20-02-2023-11:00:20 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA