Chemsha bongo 18

imageimage
21.Mti mtu
Vijana wawili marafiki, mary na Huruma walikwenda kutembea. Kwa bahati mbaya mvua ikwanyeshea. Wakakimbia huku na kule. Wakiwa wametota vibaya, wakaona kibanda, wakaingia na kukausha nguo zao kwa moto. Baada ya duda mchache nguo zao zilikauka.

Wakiwa na njaa kali wakaamua wakatafute matunda. Kila mmoja akaenda upande wake. Kwa bahati mbaya mery alikanyaga mtego wa kichawi na kugeuka mti. Katika kuzunguka huruma akapita eneo lile ambalo mery amegeuzwa mti

Huruma akasikia sauti ikimwambia “Rafiki yako amegeuzwa mti, tunakupa chaguo moja tafuta ni mti upi ni rafiki yako. Ukikosa na rafiki yako ataendelea kuwa mti” unadahi ni mti upi Huruma angeuchagua

Jibu
Kwakuwa mvua ilinyesha miti yote itakuwa ina maji, ila mary alikuwa amekausha nguo zake hivyo mti ambao ni mery utakuwa ni mkavu.