Dua baada ya kutawadha
Ukimaliza kutawadha uatsoma Dua hii.
Dua baada ya kutawadha
سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ وَبِحَمْدِكَ، أَشْهَدُ أَنْ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنْتَ، أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتُوبُ إِلَيْكَ
Sub-haanaka Allaahumma wa bihamdika, ash-hadu an laa ilaaha illaa anta, astaghfiruka wa atuubu ilayka.
Tafsiri kwa Kiswahili
“Umetakasika, ewe Allah, na sifa zote njema ni zako. Nashuhudia kwamba hapana mungu anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Wewe. Nakuomba msamaha na ninatubia Kwako.”
Maana kwa ufupi: Baada ya kutawadha, Muislamu anamtukuza Allah, anathibitisha Tawhidi, kisha anaomba msamaha na kutubia kwake.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Madrasa kiganjani
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Tarstibu za kulipa swaumu ya Ramadhani
Hapa utajifunza namna ambayo utatakiwa kulipa funga ya Ramadhani kwa siku ambazo hukufunga
Soma Zaidi...