maana ya Eda na aina zake

maana ya Eda na aina zake

Ni kipindi au muda wa kungojea mwanamke aliyepewa talaka (aliyeachwa) au kufiwa na mumewe kabla ya kuolewa na mume mwingine.

maana ya Eda na aina zake

Maana ya Eda

Ni kipindi au muda wa kungojea mwanamke aliyepewa talaka (aliyeachwa) au kufiwa na mumewe kabla ya kuolewa na mume mwingine.
1. Eda ya kuachwa mwanamke ni twahara tatu au miezi mitatu kwa wasiopata hedhi.
2. Eda ya mke mwenye mimba, huisha atakapojifungua.

3. Eda ya mke aliyefiwa ni miezi minne na siku kumi (siku 130).



Hekima ya Kukaa Eda

- Ni kuwapa wawili (mume na mke) fursa na muda, huenda wakasuluhishana na kurejeana na kuendelea na maisha ya ndoa yao.
Rejea Qur’an (65:1)

- Ni kuthibitisha uhalali wa mtoto wa mume wa mwanzo asijepewa mume atakayefuatia.



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views: 10644

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Bongolite - Game zone - Play free game     πŸ‘‰2 web hosting     πŸ‘‰3 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     πŸ‘‰5 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Haki ya kumiliki mali na mipaka yake katika uislamu

Je unaijuwa mipaka yako katika kumiliki mali. Ama unajuwa haki zako katika mali inayomiliki. Endelea na somo

Soma Zaidi...
Je inafaha kuingizwa eda na kutolewa?

Kuingizwa au Kutolewa EdaKatika sheria ya Kiislamu hapana suala Ia kuingizwa au kutolewa eda na Sheikh.

Soma Zaidi...
Masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat

Nguzo za uislamu, masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...