SIRI YA MAUWAJI

Huu ni muendelezo wa hadithi ya Mauwaji ya Kale

Siri ya Mauwaji Ep 5: Mkulima wa Giza
SIRI YA MAUWAJI EP 5: MKULIMA WA GIZA

Amani alipata maandiko ya mjomba wake Moses, yaliyofichua uhusiano wa familia yao na shirika la siri Macho ya Usiku. Mama Nyawira alikiri kuwa mwanachama wa zamani. Kabla hajafichua zaidi, watu wa ajabu waligonga mlango kwa nguvu.