Pata jibu kamili kuhusu swali lako
UTI inaweza sababisha kuishiw nguvu na kichefuchefu?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1108
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm mimba zangu mbili zote ziliharibika na sasa Nina miezi mitatu najaribu kupata mtoto inashindkkana nn nifanye sababu nataman kuwa mjamzito
Niko na swali hapa nilitoa mimba na week mbili zimeisha na natokwa na discharge za white ukeni na sometimes nakuwa na hamu ya kufanya mapenzi n a inatoweka ghafla pia Niko na mawazo sana nikapima leo kipimo cha mkojo nikapa majibu mistari mbili moja iko clear na ya pili haiko clear hiyo inamaanisha nini
Je nyanya inaweza kukuletea athari katika mwili kivipi?
Mm tumbo linaniuma alafu hedhi inatoka lakini so nyingi lakini pia nkiponyeza matti yangu yanatoa maziwa je itakuwa ni nn?
Je kama tumbo linapata joto ila hakuna kuharisha, kichwa kinauma na sehemu ya mbele ya siri inawasha hii ni dalili za ugonjwa ganj
habr? ni mazoezi gan yanafaa kwa kupunguza uzito?