Pata jibu kamili kuhusu swali lako
swali mim nahitaji kujua herf zakuruani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 130
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nina janaba nifanye nini
Nataka kujua nini maan ya talaka na edaa
nimetofautiana na mke wangu tangu siku ya kwanza ya ndoa nimevumilia miaka 2 sasa nikijua atabadilika lakini tabia bado haibadili nifanyaje sinafraha siku zote
Je? Kwa mtu ambaye amevunja kiapo anatakiwa kuwalisha maskini kumi chakula cha katikati anachowalisha watu wa nyumbani kwenu. Sasa swali langu chakula cha katikati kiasi gani na anatakiwa apeleke kwa muda gani?
Kitugani kilicho pelekea wakati wa tabiin kuandikwa hadithi
Jee nduguzake na Nabii YUSUFU walikua na mama mmoja au kila nduguye na mamake?