Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kujua kuhusu fangasi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 219
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Muda gani mzuri wa kumeza dawa za arv
Mimi nilikutana na mume wangu siku za hatar mwezi uliopita ilikuwa ni kuanzia tarehe 18 mwez uliopita na ilibidi mwez huu tarehe sita niingie period ila sijaongia mpaka Leo ila jana nimejaribu kupima ujauzito na kipimo Cha mkojo lakn sijaona
Shida yangu je matiti yangu yananinyima Raha kabisa yaani sipendi kuvaa brazia kwa mda mrefu Ila kutokana na ukubwa wake inanilazimu nivae tu pindi navyoamka naomba Kama Kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia bila madhara ,,sijaolewa bado Wala sijazaa
Me nilitoa mimba ikatoka ilivotoka baada ya mwezi mumoja nikawa cijaingia periodi nikaenda kukutana na mwenza wangu tulipomaliza kufanya nikameza p2 je mimba itatungwa Tena upya au haitatungwa
Mtoto anaweza kuzaliwa miezi nane na akaishi?
chango husababishwa na nini....?na tena kuna dawa yake?