Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba kuuliza jee kama nime jamiiana leo naweza kwenda kupima kesho ukimwi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 797
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Tarehe 25 mwezi uliopita hedhi yangu ilianza na siku ya tatu nikafanya tendo LA ndoa sasa inaeza kua nilipata ujauzito hau LA kwa sababu naumwa na mgongo na pia matiti zinauma na matiti zenyewe zimebadilika , sasa Jana nikaenda hoc nikapimwa nikaambiwa Sina ujauzito ,sasa tafadhali naomba mnisaidie
Habari! Nilikuwa nasoma makala yako juu ya mapunye na tiba zake, nina mtoto wa umri wa miaka miwili na miezi mitatu, anasumbuliwa na punye ambalo limejitokeza shavuni karibu na jicho.Ni takribani miezi minne sasa natibu kwa tube, sabuni lakini linapona na kujirudia.Nifanyaje ili kutibu lisinirudie kabisa?
Mala nyingi fangasi yangu inajirudia jirudia sana
Je kulala Chali na kukunja miguu kunaleta madhara yoyote kwenye ujauzito hata mimba ukiwa bado changa
Je mtu ambae haswali tu lakin hamshirikshi Allah je hukumuyake
Dakir mimi nitazizo ume wangu sehemu ya kutolea mkojo inatoa usaa na nikieda kukonjowa nahisi maumivu makali sana sasa sijajuwa tatizo nn??