Pata jibu kamili kuhusu swali lako
1. Swala ya alfajiri ina rakaa 2
2. Swala yaadhuhur ina rakaa 4
3. Swala ya al asr ina rakaa 4
4. Swala ya magharib ina rakaa 3
5. Wwala ya insha ina rakaa 4