SWALI

Naam shukran na je!alhabib swali langu ni kama ifuatavyo:mke wangu ni mjamzito nyakati ya kujifungua  wadaktari wakanambia nitie saini ima nimpate mke wangu akiwa hai au nimpate mwanangu sheria yanihitajia kufanyaje?

Swali No. 591


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 591 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 03-03-2023-05:04:01 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA