Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je ninaweza kuzuia maambukizi siku moja baada ya tendo na alieathirika??
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1138
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mala nyingi huhisi maumivu chini ya kitovu kiuno mgongo huhisi baridi na maumivu makali mweli mzima pale Ninapo kua namkojo au au njoo kikubwa huhisi maumivu kwenye mwili au baridi Kali kukosa hamu ya kula naomba ushauli wenu na jinsi ya kutibiwa kwani nateseka hata hamu ya mahusiano me Sina kabisa
Habari vipi unaweza kupata siku zako na ukawa na ujauzito kwa wiki za mwanzo kabla hata haujafika mwezi
Nina tatizo la infertility sina uwezo wa kutungisha mimba hili tatizo linaweza kutibika?
Hai jaman minashida yani nateseka fangas uken vidonda kwenye mashavu afu vinawasha nitumie dawa gan
Jamani mimi Nina wiki Sasa na tumbo linaniuma sana tena nahalisha,vip inaweza kuwa mimba
Hivi kutokwa na maji maji kwenye uume ni tatizo gan