Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je, dawa ya kuongeza damu kwa wajawazito Raferon iko na side effects?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 493
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
ninasumbuliwa sana na upungufu wa vitamin c tangu mwaka 2022 pia napatwa na vidonda mdomoni mara kwa mara vinachukua mda mrefu kupona je nitumie dozi gani na kwa mda gani
Hai jaman minashida yani nateseka fangas uken vidonda kwenye mashavu afu vinawasha nitumie dawa gan
habari .mm sasa ninaishi na mke mwenye ukwimwi mwanzo alinificha hakuniambia je sas nilipogundua nilipima sikuwa nao je kuna namn ya kuishi na mtu wa aina hiyo nikawa salama
Niko na shida nikimaliza sector ya mapenzi na mkee wangu kuna unyevunyevu kwa sehemu yangu ya Siri na mwashowasho kiasi ndani ndani inaweza kua ni shida gani
habr? ni mazoezi gan yanafaa kwa kupunguza uzito?
utajuaje kama ni mimba mtoto wa kiume