Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je damu ya vidudu vidogo vidogo ina toa udhu mfano kama damu ya mbu nk
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1214
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nina swali sheikh nahitaji msaada wa Elimu.
Nimeingia kwenye mgogoro na Mke wangu asubuhi hii kwa kuwa alikuwa akitamka maneno ambayo mimi sitaki kuyasikia kutoka kwake. Nimemuonya mara ya kwanza hakusikia, nikamuonya tena hakusikia, nikamuonya mara ya tatu kwa kumuambia kwamba *"Ukiniandikia tena Maneno haya basi nitakuwa nimekuacha"*. Naye akayaandika tena? Je, hapa talaka imetoka? Na hukmu yake ni ipi?
Nilikuwa nauliza kama hujafunga ndoa unaluhusiwa kuswali swala tano
Jina la baba wa mke nabii musa
Asalam alaykum warahmatulah wabarakatuh, samahan maalim naomba kuuliza yakuwa vipi ikiwa mwanaume umezaa mtoto ambaye ni nje ya ndoa je ni nn haki ya mtoto kwako au ni wajibu upi u atakuwa nao mzazi huyo katika malez ya mtoto huyo
Mimi nina mtoto wangu wa kiislam, lakini kapata mchumba wa ki kirsto, je naruhusiwa kula Mahari yake? Naomba msaada huo
Assalaam alaykum...mimi nauliza endapo mmeshazaa mtoto na we mwanamke ukadai talaka je mwanaume ana haki ya kudai mahari yake ingawa umeshazaa nae?