SWALI

Asante samahan naomba kuuliza kama majimji takiwa yana Toka ukeni nayo pia ni ugonjwa

Swali No. 345
JIBU

Yakiwa na harufu ama yanawasha ama yana rangi ya kijani ni ishara ya ugonjwaKumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-02-2023-11:48:14 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA