SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #34 26-01-2023 04:55:13

ASALAM ALEIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH
Mama mdogo katangulia mbele ya haki.
Alizaa mtoto mmoja tu wa kiume na alifariki kabla ya mama.
Suali jee wajukuu wa huyu mama wanamrithi.
Ana wajukuu 7 wakiume 3 nawakike 4
Pia huyu mama ana ndugu yake wa kike wa baba mmoja vipi na yeye anapata mirathi

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 34

MASWALI YANAYOFANANA