Katika somo hili utakwend akujifunza baadhi ya matumizi ya Json
Katika sehemu hii, utajifunza jinsi JSON inavyotumika katika programu na maeneo mbalimbali. Pia, utajifunza kuhusu faida za kutumia JSON katika kuhifadhi na kubadilishana data.
Kubadilishana Data kwenye Network
JSON hutumika kupeleka na kupokea data kati ya mteja (client) na seva (server).
Hili hutumika sana kwenye API za mtandao ambapo data kama maelezo ya watumiaji, bidhaa, au hali ya huduma hutumwa.
Mfano wa Data ya JSON Inayotumwa Kupitia API:
{
"jina": "Amina",
"umri": 25,
"ndoa": false,
"masomo": ["Hisabati", "Sayansi"]
}
Kuhifadhi Data
JSON hutumika kuhifadhi data kwa urahisi kwenye faili kwa matumizi ya baadaye.
Programu nyingi hutumia JSON kama njia ya kuhifadhi mipangilio (settings) au taarifa za mtumiaji.
Mfano: Faili la mipangilio.json linaweza kuwa na mipangilio ya programu kama:
{
"lugha": "Kiswahili",
"mandhari": "Giza",
"kiasi_cha_sauti": 80
}
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKatika somo hili utakwenda kujifunza sheria za uandishi wa json
Soma Zaidi...Kuelewa aina mbalimbali za database zinazotumia au kufuata mtindo wa JSON kwa uhifadhi wa data, faida zake, na mifano ya matumizi.
Soma Zaidi...atika somo hili utakwenda kujifunza ainza za data zinazotumika kwenye Json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza namna ambavyo json inaweza kuhifadiwa kwenye database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz amaana ya json, umuhimu wake na kazi zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz aku encode na ku decode data za json katika baadhi ya language
Soma Zaidi...