Navigation Menu



image

Json somo la 2: Sheria za uandishi wa Json

Katika somo hili utakwenda kujifunza sheria za uandishi wa json

Sheria za Kuandika JSON

Kabla ya kuanza kuandika JSON, ni muhimu kuelewa sheria zake. Sheria hizi zitakusaidia kuandika data sahihi na kuepuka makosa.

 


 

1. JSON Huandikwa kwa Jozi za Key na Value

Mfano:

"jina": "John Doe"

 

 


 

2. Key Lazima Ziwe Ndani ya Alama za Semi Mbili ("")

Mfano:

"jina": "John Doe",

"mji": "Mpanda"

 

 


 

3. JSON Huandikwa Ndani ya Mabano Makubwa ({})

Mfano:

 

{

  "jina": "John",

  "umri": 30

}

 

 


 

4. Value Zinaweza Kuwa Aina Mbalimbali za Data