image

Simulizi za Hadithi EP 7 Part 13: Jaribio kwa Aladini kwa mara ya kwanza

Muendelezo....

 

JARIBIO LA KWANZA LA ALADINI

 

 

 

Siku moja Aladini alipokwenda kuwinda yeye na wafanyakazi wa Mfalme nyuma alikuja yule mchawi aliyemtelekeza Aladini kule mapangoni. Ukweli ni kuwa mchawi aliyekutana na waziri mkuu kule nchi za Afrika alikuwa ni yule mchawi aliyekutana na Aladini na kujifanya ni Baba mdogo na Aladini. Mchawi yule alitambua fika kuwa Aladini hawezi kutembea na ule mshumaa kwa ni ni kitu cha thamani sana. Alikuja mchawi yule katika sura ya mfanya biashara na kujifanya anabadili vitu vya zamani kwa vipya. Alipokuja kwa Aladini akajifanya anabadili mishumaa ya zamani kwa mipya. Ukweli ni kuwa alikuwa na vipande vya mishumaa vilivyo vizuri.

 

 

Alikuwa na mishumaa yenye rangi ya samawadi iliyo ang’avu sana, mishumaa ya rangi nyeusi na myeupe. Pia alikuwa na mishumaa ya madoamadoa. Alinukia miski mishumaa hiyo kama vile udi uluotengenezwa Yemeni. Mchawi huyu alipofika kwa Aladini akanadi sana na kuwasha mishumaa ile na kueneaharufu nzuri ya mishumaa. Hapo akasema kama ndani kuna vitu vya zamani ama mishumaa ya zamani isiyotumika mimi nabadilisha na mipya. Pale binti Mfalme kwa kuwa alishalewa na harufu ya mshumaa wa rangi wa mchawi. Mshumaa ambao haukuwaka moto ila yalikuwa ni mazingaombe. Kilevi hiki kilmfanya binti sultani kuingia nda wenda tafuta mhumaa.

 

 

Hatmaye akaja na kipande cha mshumaa wa ajabu. Mshumaa wa Aladini alioupata mapangoni. Yule mchaw alipoushika tu mshumaa ule kiza kinene kilitokea pale na ndani ya sekunde chache hapakuwa na chochote kile. Ilikuwa ni kana kwamba hapakuwa na kitu toka mwanza. Mchawi hauweza kuacha alama yeyote ile. Mfalme akiwa ikulu alkuwa akchungulia kwa dirishani jumba la Aladini. Lakini leo alishangaa hakuweza kuoa chochote. Muda huo huo mfalme hakuamn kumuna wzir wake. Mfalme alisalimiana na waziri kwa furaha. Lakini waziri kwa kuwa alijuwa kila kitu akaanza kumkandia Aladini kuwa ni mchawi sana na kumzulia mengineyo.

 

 

Mfalme akaagiza Aladini aletwe sasa hivi. Aladini alishangaa kundi la askari kumtia mbaroni na kumpekeka kwa Mfalme. “nieleze mwanangu yupo wapi, umemfanya nini na ipo wapi nyumba yako”yalikuwa ni maswali ya haraka ya mfalme. Aladini alishindwa kujibu maswali yote alioangalia hakuweza kuona jumba lake. Kwa hasira mfalme akaagiza kichwa cha Aladini kikatwe. Hapo aladini akamuomba msamaha Mfalme na kumuomba angalai siku tatu aweze kumrudisha mkewe. Na kama akishindwa akatwe kichwa. Mfalme akakubali kmpa Aladini siku saba.

 

 

Aladini alifika kwake na kuanza kulia sana. Kulia hakuku saidia akaenda kwa mama yake na kumueleza kila kkitu. Kisha aladini akamuita jini wa kwenye pete yake na kumuuliza kama anaweza kurudisha nyumb na mke. Jini wa pete kaeleza kuwa hawezi kurudisha chochote kilichofanywa na jini wa mshumaa. Hivyo Aladini akamtaka jini wa pete ampeleke mahali nyumba yake ilipo. Punde aladini akawa yupo dirishani kwenye nyumba yake huko maeneo ya Afrika. Masiini mke wake alikuwa akilia. Alladini alipojiridhisha kuwa yule mchawi hayupo ndani akamuita mkewe na kuzungumza naye.

 

 

Ladini akampatia mkewe maelekezo juu ya nini afanya na pia akamueleza vyocyote kuwa kuna mshumaa ulimpatia. Mwanamke akakiri ni kweli. Hapo aladini akamueleza mkewe siri nzima ya mshumaa. Lengo hasa la mchawi ilikuwa ni kumuuwa Aladinni na amchukuwe binti mfalme kuwa wake. Mchawi alikuwa akimsisitizia binti mfalme kuwa Aladini ameshakufa hivyo hana bidi kumkubali yeye.

 

 

Siku hiyo binti mfalme akaoga na kujipamba vizruri. Kisha akaweza glasi mbili za vinywaji huku akimsubiri mchawi aje. Mchawi alipokuwa alistaajabishwa na urembo wa mtoto. Mtoto akamkumbatia mchawi na kumwambia “nimekata shauri kuwa aaladini amekufa, hivyo nipo kwa ajili yako sasa, naomba tufurahie leo”. mchawi aliruka kwa furaha. Hapo binti mfalme akafukuwa bilauri ya kinywaji na kumpatia mchawi kisha wakaanza kunyweshana. Haukupita muda mchawi kakakata roho. Kumbe kinywaji kile kilikuwa na sumu.

 

 

Aladini alipojiridhisha kifo cha mchawi akachukuwa mshumaa, kisha akamzika mchawi. Aladini kwa kutumia jini wa mshumaa haikuchukuwa muda jumba la Aladini likarudi pale lilipo. Mfalme alifurahi sana na kwenda kumsalimia mwanaye na kumpa pole aladini. Aladini akamueleza mfalme kila kitu kuhusu mshumaa na pete. Basi maisha yakaendelea vizuri hatimaye miezi kadhaa ikapita bila ya tukio lolote





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Mankaa Tarehe 2024-09-10 14:48:04 Topic: Simulizi za Hadithi Main: Masomo File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 42


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zifazofanana:-

Simulizi za Hadithi EP 9 Part : Nudhini akiwa hatiani
Muendelezo.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 9 Part : Barua ya mfalme wa baghadad
Muendelezo..... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 4 Part 1: Hadithi ya chongo watatu, watoto wa mfalme na wanawake wa Baghdad.
Skmulizii hii pia imetoka kitabu cha kwanza cha HALIF LELA U LELA kitabu cha kwanza Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 4 Part 4: Simulizi ya chongo wa kwanza mtoto wa Mfalme
Tusikilizie simulizii inahusu chongo wa kwanza wa mtoto wa mfalme iliyopo ndani ya kitabu cha kwanza cha Hadithi za HALIF LELA U LELA..... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 5 Part 17: Ufupisho wa ALIFU LELA U LELA KITABU CHA KWANZA
Huu ni ufupisho mfupi kuhusiana na kitabu cha kwanza cha hadithi za HALIF LELA U LELA... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 8 Part 1: Hadithi ya tunda
Simulizi hii pia inapatikana kwenye kitabu cha pili cha hadithi za HALIF LELA U LELA... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 7 Part 13: Jaribio kwa Aladini kwa mara ya kwanza
Muendelezo.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 6 Part 26: Kaka wa tano wa kinyozi
Muendelezo.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 4 Part 8: Simulizi ya chongo wa tatu mtoto wa mfalme
Muendelezo wa hadithi ya mtoto wa mfalme mwenye chongo katika hadithi ya HALIF LELA U LELA kitabu cha kwanza..... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 3 Part 5: Simulizi ya samaki wa ajabu
Simulizii hii inapatikana kwenye hadhithi za HALIF LELA U LELA katika kitabu cha kwanza.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 7 Part 2: Aladini kwenye pango la utajiri
Muendelezo..... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 9 Part : Hadithi ya Nurdini Mtoto wa Waziri
Hii ni hadithi ya kitabu cha tatu cha hadithi za HALIF LELA U LELA... Soma Zaidi...