image

BLOGGER somo la 3: Jinsi ya kuifanya Blog yako iweze kuonekana Google kwa urahisi

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuifanya blog yako iweze kuoneka Google kwa urahisi

JINSI YA KUIFANYA BLOG IPATIKANE KWENYE SEARCH ENGINE KAMA GOOGLE

Search engine (Injini ya utafutaji ni nini?

Injini ya utaftaji ni mfumo wa programu ambao umeundwa kutekeleza utaftaji wa wavuti. Wanatafuta Wavuti Ulimwenguni kote kwa njia ya kimfumo kwa habari fulani iliyobainishwa katika swali la utaftaji wa maandishi. Wikipedia (Kiswahili)

Ni kazi yake Search engine yeyote iwe google ama nyingineyo kutafuta web ama blog yako popote ilipo. Ama kutafuta post ulioiandika popote pale ilipo. Hata hivyo hutokea kuwa ikashindwa kuona hiyo blog yako ama post yako. Hivyo utahitajika kuisaidia kujuwa namna ya kupata blog hiyo ama post yako. Zifuatazo ni njia za kuifanya blog yako ionekane kwenye search engine:-

 

1. Ruhusu blog yako ionekane kwenye search engine. Kwa wale wanaotumia blogger kuna mambo kadhaa unatakiwa uyafanye kwenye setting. Mambo hayo ni kama:-

  1. Ingi kwenye setting utaiona kwenye menu upande wa kushoto kisha kwenye kipengele cha Privacy kuna palipoandikwa Allow search engine to find your blog washa hicho kibatani.
  2. Kwenye hiyo setting shuka shini kuna palipoandikwa Crawler and indexing washa hicho kibatani kilichoandikwa Enable custon Robot.txt

Kwa wale ambao wanatumia wordpress ama website zao huna haja ya kufanya jambo lolote zaidi ya kusubiri hatuwa inayofuata. Kwa sasa hakikisha kuwa blog au website yako haihitaji password ili kuweza kuifikia. Ama kurasa ambazo unahitaji zionekane kwenye search engine hazihitaji mtu kulogin.

 

2. Isajili blog ama web yako kwenye search engine. Karibia search engine zote kubwa zina mfumo wa kuisajili website ama blog yako. Kwa mfano kwa google wanatumia Google Search Console kwa microsoft bing wanatumia Bing Webmaster Tools kwa yandex wanatumia Yandex Webmaster na zaidi ya hapo. Katika somo hili tutakwenda kuitumia google search console.

 

Unachotakiwa kufanya ni kujisajili kwenye hizo search engine kwa mfano Google search console Kwa kubofya link hii https://search.google.com/search-console. Utalog in kwa email yako, kisha Utatakiwa kuweka link au domain ya blog au website yako. Kule itaitwa property.

 

Kama hujanunua domain, weka link ya blog yako hapo palipoandika URL prefix. Kopi vyema link ya blog yako . Link utaipata kwenye upau wa juu wa kivinjari chako cha intanent. Angalia picha hii 

 

Baada ya hapo, Pest hiyo link kwenye hicho kibox kilichoandika URL prefix. Itaonekana kama kwenye picha hapo chini

 

Hatuwa inayofauata bofya hapo palipoandikwa continue, itahitaji kufanya verification. Kwa wale wa blogger itajiverify yenyewe. Kama unatumia blog iliyo tofauti na blogger watakupa ">...



Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 412


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Blogger somo la 1: Jinsi ya kutengeneza Blog
Somo hili litakwenda kukufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya kufunguwa blog kwenye mtandao wa blogger. Soma Zaidi...

BLOGGER somo la 3: Jinsi ya kuifanya Blog yako iweze kuonekana Google kwa urahisi
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuifanya blog yako iweze kuoneka Google kwa urahisi Soma Zaidi...

BLOGGER somo la 2: Jinsi ya kuandika post na kuiboresha pamoja na kuidhibiti
Katika post hii utakwend akujifunza jinsi ya kuandika post, kuisimamia na kuoboresha. Soma Zaidi...