Sababu za maumivu ya tumbo la chango wakati wa hedhi, nini ufanye na dalili za maumivu ya tumbo la chango
Maumivu wakati wa hedhi kama tulivo zoea kuyafahamu kama tumbo la chango, ama chango la wananwake. Kitaalamu maumivu haya yanatambulika kama dysmenorrhea. Ni maumivu ambayo wanayapata wanawake walio katika umri wa kupata hedhi, na mara nyingi yanakuwa ni chini ya tumbo. Kikawaida maumivu haya ni ya kawaida kiasi hayamfanyi mwanamke kushindwakufanya kazi zake. Lakini wakati meingine yanaweza kuwa makali kiasi cha mwanamke kushindwa kufanya kazi. Kuna sababu nyingi za maumvu haya na dalili zake. Makala hii itakwenda kuangalia sababu za tumbola hedhi ama maumivu ya tumbo la chango, dalili zake na nini afanye.
DALILI ZA MAUMIVU YA UMBO LA HEDHI AU CHANGO
1.maumivu ya chini ya tumbo. Maumivu haya ynaanz kidogo kidogo na kuongezeka.
2.Maumivu ya tumbo yanayoanza siku moja ama tatu kabla ya kuingia hedhi na huweza kuendeea kwa siku 2 ama tatu baada ya hedhi
3.Maumivu ya tumbo ya kawaida
4.Maumivu kwenye mgongo na mapaja.
Baadhi ya wanawake pia wanaweza kupata dalili zifuatazo:-
1.Kichefuchefu
2.Kupata kinyesi laini
3.Maumivu ya kichwa
4.Kizunguzungu
SABABU ZA MAUMIVY YA TUMBO LA CHANGO AU TUMBO LA HEDHI
Wakati wa hedhi inapokaribia tumbo la mimba linajikunja na kukaza ili kuondoa tishu (nyamanyama) zilizoota ndani ya tumbo. Wakati huu mwili huzalisha homoni ijilikanayo kama prostagladins ambayo ndio husaidia kuondoa tishu za ziada zilizoota wakati tumbo lilipokuwa tayari kupokea ujauzito. Katika kuodolewa tishu (yamanyama) kizi ndipo mwanamke hupata maumivu ya tumbo la hedho au maumivu ya tumbo la chango.
Walio hatarini zaidi maumivu haya kuwa makali sana
Katika hali ya kawaida maumivu ya tumbo la chango ama maumivu wakati wa hedhi sio makali kiasi hiko cha kuharibu shughuli za kawaida. Ila huweza kutokea wakati mwingine yakaongezeka zaidi ya kawaida. Hii ni kutokana na uzalishwaji wa hmoni kwa wingi. Lakini pia wapo watu wapo hatarini katika hili, yaani maumivu ya tumbo la chango yanaweza kuzidi:-
1.walio katika umri chini ya miaka 30
2.Waliovunja ungo wakiwa na umri wa mika 11 ama chhini ya hapo
3.Kama unapata damu nyingi wakati wa hedhi
4.Kama hedhi yako inarukaruka
5.Unawza pia kurithi hali hii kama ipo kwenye ukoo wenu
6.Kama unavuta sigara
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu ugonjwa wa Maambukizi kwenye mifupa, kwa hiyo tusipotibu tunaweza kupata madhara yafuatayo.
Soma Zaidi...Kukatika kwa nyweleรย kunaweza kuathiri tu kichwa chako au mwili wako mzima. Inaweza kuwa matokeo ya urithi, mabadiliko ya homoni, hali ya matibabu au dawa. Mtu yeyote wanaume, wanawake na watoto anaweza kupoteza Nywele.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kupiga punyeto, ni madhara yanayotokea kwa watu wanapenda kupiga punyeto.
Soma Zaidi...Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona
Soma Zaidi...Nauriza mjamzito kuvimba miguu na maziwa nini tatizo lake?
Soma Zaidi...