NINI VIDONDA VYA TUMBO?

NINI VIDONDA VYA TUMBO?

Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.

NINI VIDONDA VYA TUMBO?

NINI VIDONDA VYA TUMBO?
Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.

Vidonda hivi hutokea kutokana na mashambulizi ya bakteria wanaoitwa Helicobacter pylori (H.pylori) au kulika kwa ukuta wa tumbo kutokanana na athari za tindikali zilizopo tumboni (stomach acids) kama vile tindikali ya hydrocloric yaani hydrocloric acid. Kwa wakati tulio nao hili ni tatizo la kawaida maana limewapata watu wengi na halisabababishi vifo vya watu wengi kama maaradhi ya saratani na kisukari.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda hivi vimegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni:-
1.Gastric ulcers hivi hutokea ndani ya tumbo la chakula
2.Esophageal ulcers hivi hutokea ndani ya esophagus. Hii ni sehemu inayounganisha kati ya koo la chakula na tumbo la chakula.
3.Duodenal ulcers hivi hutokea kwenye sehemu ya juu ya utumbo mdogo inayoitwa duodenum
Vidonda vya tumbo ni pamoja na:


                   

Bongoclass
Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya hapa chini kuipakua sasa!

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Main: Afya File: Download PDF Views 479

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitabu cha Afya    πŸ‘‰2 Madrasa kiganjani    πŸ‘‰3 kitabu cha Simulizi    πŸ‘‰4 Bongolite - Game zone - Play free game    πŸ‘‰5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    πŸ‘‰6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

   Dalili na sababu zinazopelekea matatizo ya ugonjwa wa ngono.
Dalili na sababu zinazopelekea matatizo ya ugonjwa wa ngono.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili zilizopo katika matatizo ya ngono.

Soma Zaidi...
Mafunzo ya Computer kwa Kiswahili
Mafunzo ya Computer kwa Kiswahili

Utajifunza na kuelewa hata kama hauna computer kwa muda huo

Soma Zaidi...
 Dalili zinazosababisha joto la mwili kuwa juu.
Dalili zinazosababisha joto la mwili kuwa juu.

Kiharusi cha joto ni hali inayosababishwa na joto la juu la mwili wako, kwa kawaida kama matokeo ya kukaa kwa muda mrefu au bidii ya mwili katika joto la juu. Aina hii mbaya zaidi ya jeraha la joto, kiharusi cha joto kinaweza kutokea ikiwa joto la mwili

Soma Zaidi...
Dalili za mwanzo za HIV/UKIMWI
Dalili za mwanzo za HIV/UKIMWI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mwanzo za HIV/UKIMWI

Soma Zaidi...
Madhara ya kupiga punyeto
Madhara ya kupiga punyeto

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kupiga punyeto, ni madhara yanayotokea kwa watu wanapenda kupiga punyeto.

Soma Zaidi...
Matatizo ya tezi dume hazijashuka.
Matatizo ya tezi dume hazijashuka.

Posti hii inaonyesha matatizo ya tezi dume zilizoshuka.

Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa kukatika Nywele.
Dalili za ugonjwa wa kukatika Nywele.

Kukatika kwa nywele kunaweza kuathiri tu kichwa chako au mwili wako mzima. Inaweza kuwa matokeo ya urithi, mabadiliko ya homoni, hali ya matibabu au dawa. Mtu yeyote wanaume, wanawake na watoto anaweza kupoteza Nywele.

Soma Zaidi...
KOSA LANGU LIKO WAPI
KOSA LANGU LIKO WAPI

Post hii inahusu Vijana walivyoingiliana kwenye mahusiano na kusababisha kitoelewana kwa hiyo tutaona jinsi walivyoendeleana na kusababisha maumivu zaidi.

Soma Zaidi...