Hisnul Muslim ni Kitabu cha dua na Adhkar mbalimbali za kiislamu.
Kitabu hiki kimekusanya mamia ya Dua muhimu na adhkar mbalimbali. Kila muislamu anapasa kujishughulisha na adhkar na dua ili kujiweka karibu na rehma za Allah
Kimepakiwa na Rajabu Terehe 2024-06-10 14:28:09