Jinsi ya kuswali - Kitabu cha swala

Kitabu cha swala kama alivyoswali Mtume Muhammad ( s.a.w)

Kitabu hiki kinatoa muongozo wa jinsi ambayo Muislamu anatakiwa kuiswali swala yake kama ambavyo ilivyofundishwa na Mtume s.a.w ama kupitia Masahaba zake.





Kimepakiwa na Rajabu Terehe 2024-06-07 22:44:02