Kitabu cha elimu ya Dini ya Kiislamu kidato cha Nne.
Kitabu hiki kitakusaidia katika maandalizi yako ya Mtihani wa elimu ya Dini ya Kiislamu. Kitabu hiki kimekusanya maswali mbalimbal ambayo yanaweza kuulizwa kwenye mitihani ya somo hili la EDK
Kimeandikwa na Rajabu Terehe 2024-04-18