KISIMA CHA KALE

picha
PETE YA KALE EP 7: MAKUTANO YA MITO MIWILI

Kati ya tumaini na ukweli nini utacaguwa na ni kwa nini uchaguwe. Huu ni umtihani aliokutana nao Jasiri hapa.
picha
KISIMA CHA KALE EP 6: PANGO LA MAAMUZI

Ndani ya Pango zito kijana Jasiri analizimishw akuchagua kati ya wazazi wake ama safari.
picha
KISIMA CHA KALE EP 5: ZAWADI YA PILI

Jasiri anakumbana na changamoto ya kuvuka daraja la kioo
picha
KISIMA CHA KALE EP 4: MAAMUZI YA BUSARA

Kijana Jasiri anafundhishwa namna ya kutuliza nafsi na kutoa maamuzi ya busara wakati wa changamoto
picha
KISIMA CHA KALE EP 3: KUTAKASA NIA NA DHAMIRA

Kabla ya kuendelea zaidi na safari Jasiri anatakiwa atakase kwanza nia yake.
picha
KISIMA CHA KALE EP 2: SAFARI YA USIKU

Kijana Jasiri anaanza safari yake usiku, Hakuna anayejuwa wapi anakoelekea
picha
KISIMA CHA KALE EP 1: KIJIJI CHA WALIOKATA TAMAA

Nikikaribishe tena katika simulizi yetu mpya ya Kisima cha kale. Simulizi hii itakuwa na sehemu 32 tu.