MAUWAJI YA KALE

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 15: Risasi ya mwisho
MAUWAJI YA KALE EP 15: RISASI YA MWISHO

Amni anapata kujuwa ukweli wa mambo Yale, na Hali inatendeka.

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 14: Kipande cha Chuma Chenye Ukweli
MAUWAJI YA KALE EP 14: KIPANDE CHA CHUMA CHENYE UKWELI

Mwisho wa yote Amani anatumia kipande cha Chuma kujuwa Siri za mambo Yale.

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 13: Wakati wa Kifo au Ukweli
MAUWAJI YA KALE EP 13: WAKATI WA KIFO AU UKWELI

Wakati siri zaidi za bibi zinaendelea kufichuka, hatimaye muuwaji wa ukweli anawatokea na kutaka kumalizia mauwaji yake.

Picha ya Mauwaji ya kale Ep 12: Nani Atasalimika?
MAUWAJI YA KALE EP 12: NANI ATASALIMIKA?

Mama nyawira anajaribu kufichuwa siri ya mambo yaliyotokea siku zile.

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 11: Ukweli Unaanza Kujitokeza
MAUWAJI YA KALE EP 11: UKWELI UNAANZA KUJITOKEZA

Hakuna siri chini ya juwa, Amani anagunduwa siri nzito ya Bibi yake na mauwaji ya kale

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 10: Mchezo wa Hatari
MAUWAJI YA KALE EP 10: MCHEZO WA HATARI

Mchezo wa Hatari, Amani akiwa kwenye hatari sana, je ataweza kufikia malengo yake. Na sasa anaingia kwenye mchezo wa hatari

Picha ya Mauaji ya Kale Ep 9: Nyayo za siri
MAUAJI YA KALE EP 9: NYAYO ZA SIRI

Amani anafanikiwa kuwakimbia watu waliotaka kumuuwa, ilaje ataweza kutoka salama msituni?

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 8: Mshale wa giza
MAUWAJI YA KALE EP 8: MSHALE WA GIZA

Hatuwa nyingine ngumunzaidi mbele ya Amani. Nini kitatokea kwenye Mshale wa giza?

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 7: Ukweli Uliofichwa
MAUWAJI YA KALE EP 7: UKWELI ULIOFICHWA

Ukweli una gharama, je Amani yupo tayari kulipa arama hiyo, haya yalikuwa maswali ya mzee huyu wa ajabu kumuuliza amani

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 6: Mti wa Siri
MAUWAJI YA KALE EP 6: MTI WA SIRI

Amani akiwa anaendelea kufonyokoa siri za zamani, hatimaye anakwenda kukutana na siri nyinginezo

Picha ya MAUWAJI YA KALE EP 5: Kivuli cha Mnazi Mkubwa
MAUWAJI YA KALE EP 5: KIVULI CHA MNAZI MKUBWA

Katika kivuli cha Mnazi Amani anakwenda kugunduwa siri nyingine. Huu ni mwendelezo wa siri ya kale. Je ni nini kitatokea.

Picha ya Mauwaji ya Kale Ep 4: Hatua ya Kwanza
MAUWAJI YA KALE EP 4: HATUA YA KWANZA

Amani sasa anaingia kwenye kazi rasmi ya kufichuwa habari ya kale kuhusu mauwaji ya kikatili, na sasa anaelekea hatuwa ya...

Picha ya Mauwaji ya kale EP 3: Alama za Ramani
MAUWAJI YA KALE EP 3: ALAMA ZA RAMANI

Alama zilizopo kwenye ramani, zimnatengeneza taswira ya nini kilitokea miaka za kale

Picha ya Mauwaji ya kale Ep 2: Simulizi la mauwaji
MAUWAJI YA KALE EP 2: SIMULIZI LA MAUWAJI

Bibi mama Nyawira alikuwepo miaka hiyo, ni katika ambao walizika siri hii kwa miaka mingi. Sasa kwa mara ya kwanza...

Picha ya Muwaji ya Kale Ep 1: Mwanzo wa Siri
MUWAJI YA KALE EP 1: MWANZO WA SIRI

Upepo wa Ajabu wenye sauti za kushangaza, unampeleka Amani kwneye hifadhi ya siri ya Kale.