Swali #120
30-01-2023 18:37:42
<p>Mjane akiacha Mali halafu akawa Ameacha watoto wa Tano mmoja mwislam wengine wakristo na mjane alikuwa mwislam, swali langu Hawa watoto ambao ni wakristo Wana haki ya kumrithi mama Yao? Naomba unisaidie majibu pamoja na kifungu kitakacho patikana juu ya jibu lako. Asante</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 120