picha

BONGOCLASS STAFF MEMBERS

RAJABU ATHUMAN BA.

BONGOCLASS STAFF MEMBERS

CHAIR MAN



RAJABU ATHUMAN
BA.ED UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM)
Amezaliwa mnamo 1992, mkoani Tanga-Tanzania, ni mwalimu na pia ni muelimishaji katika maswala ya afya na ushauri. tofauti ya kuwa mwalimu pia ana taaluma za IT kama kutengeneza website, software na graphic design.

VICE-CHAIRMAN



SADAMU ABAS
BSWS UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM)
Amezaliwa mnamo 1993, mkoani Pwani-Tanzania, ni mtaalamu katika IT, amesomma Bachelor of science with computer science. Pia ni system developer, na mtaalamu wa kudisain graphics. Ni mtoaji wa ushauri kuhusu teknolojia

SECRETARY



HASSANI ISA
NURSE FROM KIWOVAC NURSING TRAINING CENTRE
Amezaliwa mnamo 1992, mkoani Tanga-Tanzania, anataaluma ya Nursing na pia ni mtaalamu katika kutunga na kughani mashairi. Ana mkanda mweusi wa gujuriew na ni mrukaji wa sarakasi. Ni mtoaji ushauri katika afya na maradhi.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Mengineyo Main: Post File: Download PDF Views 1360

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Kitabu Cha Contact

Unaweza kuwasiliana nasi kwenye mitandao ya kijamii, kwa kutumia jina la Bongclass.

Soma Zaidi...
The fastest (anakwenda mbio zaidi)

Posti hii inakwenda kukuletea sifa za mnyama anayekwenda mbio zaidi

Soma Zaidi...
Promo

Kama wewe ni Muandishi mzuri za hadithi au makala za kutoa elimu kwa watu na unataka kazi yako iwafikie watu wengi, au unataka kazi yako iweze kukuingizia kipato, Bongoclass ndio mtatuzi wako sasa.

Soma Zaidi...
More

Bila shaka umefurahishwa na huduma zetu, Je unataka huduma zaidi, Bofya kityfe cha Open hapo chini.

Soma Zaidi...