Simulizi za hadithi za HALIF LELA U LELA zimendaliwa katika makundi matutu ambayo ni kitabu cha kwanza, cha pili, na cha tatu. Ndani ya vitabu hivi kuna mengi tutajifunza.
UTANGULIZI WA HADITHI ZA HALIF LELA U LELA.
Hizi ni hadithi zilizoenea duniani kote na zimekuwa zikisimuliwa kwa watot na hata watu wazima. Hadithi hizi zina asili ya bara la arabu. Hadithi hizi zimekuwa zikitafasiriwa kwenye lugha nyingi sana. Neno ALIF LELA U LELA lina maana miaka elfu moja na moja. Na hadithi hizi hufhamika kwa lugha ya kiingereza kama ARABIAN NIGHT.
Hadithi hizi zimetafasiriwa katika lugha nyingi mpaka katika lugha za kiswahili. Changamoto ya masimulizi haya ni kuwa yamesheheni lugha ngumu sana kulinganisha na uhalisia wa maisha yetu ya leo. Hivyo inakuwa vigumu kuelewa baadhi ya manenno nini hasa kimekusudiwa. Pia tamaduni zilizotumiwa na wahusika wa hadithi hizi ni za kiarabu, kihindi na kiajemi kiasi kwamba ni ngumu kuelewa baadhi ya vipengele.
Baada ya kuliona hili nimejaribu kutohoa hadithi hizi na kuziweka katika lugha iliyo rahisi kabisa na inayoendana na mazingira ya wakati huu. Hadithi hizi nimezigawa kwenye vitabu kadahaa na tayari kitabu cha kwanza kimekamilika kikiwa na hadithi zaidi ya 60. Unaweza kupata hadithi hizi kama PDF kwa bei poa.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Mankaa Tarehe 2024-09-09 12:27:08 Topic: Main: Masomo File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 98
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Simulizi za Hadithi Audio
👉4 Kitau cha Fiqh
👉5 Kitabu cha Afya
👉6 Madrasa kiganjani
Simulizi part 1: UTANGULIZI WA HADITHI ZA HALIF LELA U LELA
Simulizi za hadithi za HALIF LELA U LELA zimendaliwa katika makundi matutu ambayo ni kitabu cha kwanza, cha pili, na cha tatu. Ndani ya vitabu hivi kuna mengi tutajifunza. Soma Zaidi...