Kijiji cha Lemi kinapata neema baada ya kijana wao kurejea.;
Hii ni hadithi ya Pete ya AJABU
Kijiji cha Lemi kinapata neema baada ya kijana wao kurejea.;
Hatimaye Silo na Lemi wanakwenda kijijini kwa Silo kama safari ya mwisho ya Silo
Katika safari yao ya kurudi bado vijana hawa wanaendelea kukutana na vikwazo
Vijana wanaendelea kutimiza ahadi ya kusaidia wengine.
Baada ya Lemi na Silo kumaliza masomo yao kwenye chumba cha vioo sasa wanaamrishwa kurudi
Tunaendelea kufichua siri zilizofichwa kwenye vioo vya ajabu.
Kila kioo kina miujiza yake, sasa ni zamu ya kuoo cha giza
Lemi na Silo wanaendelea kuzijuwa siri za kwenye vioo vya kale
Kila kioo kina miujiza yake, sasa ni zamu ya kioo cha chui.
Baada ya lemi na Silo kushindwa kuchaguwa kwenye kioo sasa wakaamuwa kulala pale. Hatimaye usiku wa majibu unawafikia.
Kwa mara ya kwanza Lemi na Silo wanashindwa kutoa maamuzi kuhusu nini wachaguwe
Katika mfululizo huu wa matukio sasa wasafiri hawa wawili wanakumbana na milang ya ajabu.
Katika Msitu mnene, Silo na Lemi wanakutana na majaribu mapya.
Hatimaye Lemi na Silo wanakutana na majaribu na changamoto mpya, kufa na kupona
Lemi anapata rafiki mpya na kuendelea na safari yake wakiwa wawili.
Sasa Kijana Lemi anaamiwa kuanza upya kusaidia kijiji hiki kwa kuelekea kijito cha siri ambako nduio kuna suluhisho la matatizo ya kijiji hiki.
Hapa tunaendelea na safari ya Lemi na mzee wakiwa msituni kuelekea kwenye kijiji kinachofuata
Lemi anakutana na chemchem ya ajabu, hapa anaishia kupata zawadi nono zaidi
Kijana Lemi anaamuwa kuanza safari asioijuwa mwanzo wake na mwisho wake.
Kijana Lemi anaokota pete ya Ajabu, sasa anajiuliza je ni ya baraka au ya laana