UZAZI

picha
CHANZO CHA TEZIDUME, DALILI ZAKE NA TIBA ZAKE.

Post hii inakwenda kukufunza mambo mengi kuhusu tezi dume kama chanzo, dalili, matibabu, njia za kujikinga na mambo hatari yanayoweza kukusababishia kupata tezi dume.
picha
NINI HUSABABISHA MTOTO KUKOSA MAJI KABLA YA KUZALIWA?

inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto.
picha
MADHARA YA TUMBAKU NA SIGARA

Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji
picha
NINI HUSABABISHA KORODANI MOJA KUWA KUBWA KULIKO NYINGINE

kama pumbu moja ni kubwa uliko jingine post hii ni kwa ajili yako. Hapa tutakwend akuangalia vinavyoweza kusababisha korodani moja kuw akubwa zaidi ya lingine
picha
MALEZI YA MTOTO MCHANGA NA MAMA MJAMZITO

Post hii itakwenda kukuletea mambo kadhaa yanayohusiana na malezi bora ya mama mjamzito na mtoto mchanga
picha
DALILI ZA KUHARIBIKA KWA MIMBA

Katika post hii utajifunza ishara na dalili ninazoonyesha kuwa mimba ipo hatarini kutoka ama inaweza kuwa imeshatoka.
picha
JINSI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

Post hii itakwenda kukuletea orodha ya vyakla vinavyoaminika kuongeza nguvu za kiume.
picha
DARASA LA AFYA NA AFYA YA UZAZI

Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho.
picha
MIMBA ILIYOTUNGIA NJE, SABABU ZAKE NA DALILI ZAKE. NINI KIFANYIKE KUIZUIA?

Mimba hatari iliyotungia nje ya mji wa mimba, ni zipi dalili zake na ni kivipo mimba inatungia nje?
picha
DALILI ZA KUJIFUNGUWA, NA DALILI ZA UCHUNGU WA KUJIFUNGUWA

Nitajuwaje kama mjamzito amekaribia kujifunguwa, ni dalili gani anaonyesha, dalili za uchungu wa kujifunguwa
picha
VYAKULA HATARI KWA MJAMZITO MWENYE MIMBA NA MIMBA CHANGA

Vyakula hivi hapasi kuvila mwanamke mwenye ujauzito kwa kiasi kikubwa, hasa yule mwenye mimba chaga
picha
UTARATIBU WA LISHE KWA MJAMZITO, VYAKULA ANAVYOPASA KULA MJAMZITO

Ni vyakula gani anapasa kula mjamzito, na utaratibu mzima wa lishe kwa wajawazito
picha
UTARATIBU KWA WAJAWAZITO NA WANAONYONSHESHA WAKIWA NA VIRUSI VYA UKIMWI NA UKIMWI

Je kuna madhara kwa mwenye virusi vya ukimwi kunyonyesha ama kubeba mimba, na nini afyanye kama ameshabeba mimba ama kama ananyonyesha
picha
UTARATIBU WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA KWA WAJAWAZITO

Jifunze muda ambao mjamzito hatatkiwa kishiriki tendo la ndoa. je kuna madhara kwa mjamzito kushiriki tendo la ndoa.
picha
DAMU, MAJIMAJI NA UTEUTE UNAOTOKA KWENYE UKE WA MJAMZITO, SABABU ZAKE NA DALILI ZAKE

Unataka kujuwa sababu za mjamzito kutokwa na damu, utelezi ama majimaji kwenye uke wake. Na dalili gani zinaashiriwa na majimaji haya
picha
KUTOKA KWA MIMBA, SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA, DALILI ZA KUTOKA MIMBA NA KUZUIA MIMBA KUOKA

Mimba inapotoka ina dalili, na zipo sababu kadhaa za kutoka kwa mimba. Je utazuiaje mimba kutoka. Soma makala hii
picha
NIA ZA KUPIMA UJAUZITO UKIWA NYUMBANI, NJIA KUU 10 ZA KIASILI ZA KUPIMA MIMBA CHANGA

Kuna njia nyingi zinatajwa zinapima mimba kama chumvi, sukari, mafuta na sabuni. Hata hivyo zipo njia zaidi ya 10 za kiasili za kupima ujauzito. Utajifunza hapa zote
picha
DALILI ZA MIMBA CHANGA NA SIKU YA KUPATA MIMBA

Jifunze namna ya kuthibitisha dalili za ujauzito kuwa ni za kweli. Tambuwa namna ya kupima mimba na muda mujarabu wa kupima
picha
CHANGAMOTO ZA UJAUZITO, NA DALILI ZAKE NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO

Utawezaje kukabiliana na changamoto za ujauzito, je ni zipi changamoto hizo. Hapa nitakujuza.
picha
DALILI KUU ZA MWANZO ZA MIMBA CHANGA, KUANZIA SIKU YA KWANZA

Ni ngumu ila nitakujuza namna ya kuitambuwa mimba ya siku moja hadi 3, mimba ya wiki moja na mimba ya miezi mitatu kwa dalili.
picha
NI IPI SIKU YA KUPATA UJAUZITO, NA NITAJUWAJE KAMA NIMEPATA UJAUZITO?

Hapa utajifunza siku nzuri kushoriki tendo la ndoa kupata ujauzito, dalili za siku hiyo na kuitafuta kwa mahesabu
picha
SABABU ZA MAUMIVU YA TUMBO WAKATU WA TENDO LA NDOA

Jifunze sababu kuu zinazosababisha kuhisi maumivu makali ya tumbo wakati wa kushiriki tendo la ndoa
picha
SABABU ZA MAUMIVU YA TUMBO BAADA YA TENDO LA NDOA

Utajifunza sababua zinazopelekea kuhisi maumivu makali ya tumbo baada ya kumaliza tendo la ndoa
picha
SIKU ZA HATARI

Hizi ni siku za hatari kupata ujauzito.Siku hizi ndio siku za kupata mimba kwa urahisi
picha
JE SIKU SAHIHI YAKUFANYA TENDO LA NDOA NIIPI UKIPATA SIKU ZAKE ZA HATARI?

Swali langu ni hili doktaJe siku sahihi yakufanya tendo la ndoa niipi ukipata siku zake za hatari?
picha
JE KITUNGUU SAUMU KINA MADHARA KWA MGONJWA WA FIGO?

Nimesoma makala yenu, sasa nina swaliJe kitunguu saumu kina madhara kwa Mgonjwa wa figo?
picha
ANAWASHWA SANA SEHEMU YA SIRI MPAKA ANATOKA VIPELE VINGI KWENYE MAPAJA KORODANI ZAKE ZIMEBADILIKA KUWA NYEKUNDU

Abali mkuu Nina mdogo wangu anawashwa Sana sehemu ya Siri mpaka anatoka vipele vingi kwenye mapaja korodani zake zimebadilika kuwa nyekundu na zenye kutisha uume wake nao umekuwa unakama mabaka umebabuka aisee nime angaika Sana kumtibia mpaka nakata tamaa
picha
JE MAUMIVU YA NYONGA NA TUMBO LA CHINI NI DALILI YA MIMBA?

Nina swali langu:-je maumivu ya nyonga na tumbo la chini ni dalili ya mimba?
picha
JE KUTOKWA NA MAJI MENGI WAKATI WA TENDO LA NDOA INAASHILIA NINI?

Je kutokwa na maji ukeni ambayo hayana harufu na meupe Hadi kuroanisha chupi, na je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?
picha
MAUMIVU SEHEMU ZINAZOOTA MAVUZI NA KUWA NAMAUMIV WAKAT WA HAJA NDOGO NA PIA KWENYE KICHWA CHA UUME KUNAKUA KAMA KUNAVIMBA

Je kupata maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimb hizo syo dalili moja wapi?
picha
KWA MJAMZITO KUUMIA WAKATI WA TENDO LA NDOA TATIZO LINAWEZA KUWA NI NINI?

Je unaweza kunielezaKwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?
picha
MAMA MJAMZITO ANAPO HISI UCHUNGU JE MTOTO HUENDELEA KUCHEZA TUMBONI?

Swali langi ni hiliMama mjamzito anapo hisi uchungu je mtoto huendelea kucheza tumboni?
picha
ZIJUWE DALILI KUU 5 ZA MIMBA CHANGA

Dalili za mimba, na m,imba changa
picha
DARASA LLA AFYA NA AFYA YA UZAZI NA MALEZI BORA KWA JAMII

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
picha
SIKU ZA KUPATA MIMBA

Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba na dalili za siku hizo.
picha
DALILI ZA MIMBA BAADA YA TENDO LA NDOA NA CHANGA NDANI YA WIKI MOJA

Utajifunza dalili za mwanzoni za mimba changa kuanzia wiki moja baada ya tendo la ndoa
picha
MAUMIVU YA UUME BAADA YA TENDO LA NDOA

Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
picha
SIKU ZA HATARI, SIKU ZA KUBEBA MIMBA

Hizi ni siku hatari kwa mwanamke ambazo ni ahisi kwake kubeba mimba, siku nitakueleza ni zipi na ni zipi sifa zake
picha
DALILI ZA MIMBA CHANGA

Zijuwe dalili 17 za mimba na mimba changa, kuanzia siku ya kwanza mpaka mwezi mmoja
picha
SIKU ZA KUPATA MIMBA

Nitakujulisha siku ya kupata mimba na sifa zake, na namna ya kuweza kuitafuta
picha
ZIJUWE DALILI ZA MINYOO NA DALILI KUU 9 ZA MINYOO

Utajifunza dalili za minyoo, sababu za minyoo na namna ya kujiepusha na minyoo. Dalili kuu 5 za minyoo mwilini
picha
DAWA YA CHANGO NA DAWA MAUMIVU YA TUMBO LA HEDHI

Nitakujiza dawa ya chango na maumivu ya tumbo lahedhi, dalili zake na njia za kukabiliana na maumivu ya tumbo la chango.
picha
MAUMIVU YA UKE NA UUME BAADA YA TENDO LA NDOA NA WAKATI WA TENDO LA NDOA

Utajifunza sababu za maumivu ya uume na uke wakati wa tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa na matibabu yake.
picha
KIUNGULIA KWA WAJAWAZITO, DAWA YAKE NA NJIA ZA KUKABILIANANNACHO

Wajawazito wamekuwa wakisumbuliwa sana na kiungulia, makala hii itakujulisha njia za kukabiliana na kiungulia, dalili zake na dawa zake
picha
NAMNA YA KUBORESHA MBEGU ZA KIUME, NA VYAKULA VYA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME

Njoo ujifunze vyakula vya kuboresha mbegu za kiume na nguvu za kiume.
picha
SABABU ZA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO NA DALILI ZAKE

Dalili za kuharibika kwa ujauzito na dalili za kuharibika kwa ujauzo
picha
DALILI 10 ZA KUKARIBIA KUJIFUNGUA PAMOJA NA UCHUNGU WA KUJIFUNGUA

Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba.
picha
TATIZO LA KUVIMBA KWA USO NA MIGUU KWA WAJAWAZITO

KUVIMBA VYA MIGUU KWA WAJAWAZITO Kuvimba kwa miguu ni hali inayowapara wengi katika wajawazito.
picha
VYAKULA VYA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA NA NGUVU ZA KIUME

Matatizo yahusianayo na nguvu za kume na kukosa hamu ya tendo la ndoa kwahuweza kuchangiwa sana na mpangilio mbovu wa vyakula pamoja na saikolojia ya mtu.
picha
KUWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA MAPEMA: KUMWAGA MBEGU MAPEMA

Hii ni hali inayowapata sana wanaume huwa wanamaliza hamu ya tendo la ndoa mapema kabla ya mwenza kuridhika.
picha
SABABU ZA KUKOSA NGUVU ZA KIUME AMA KUWA NA UWEZO MDOGO WA KUHIMILI TENDO LA NDOA

Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa.
picha
SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA

Hii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinachohusiana na kufanya tendo landoa au bunyeto.
picha
SABABU ZA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA

Kama unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa, suluhisho lako lipo kwenye makala hii
picha
MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA

Maumivu wakati wa tendo la ndoa kitaalamu huitwa dyspareunia.
picha
MAMBO HATARI KWA UJAUZITO (MIMBA) MAMBO YANAYOPELEKEA KUJAUZITO KUWA HATARINI KUTOKA

Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini.
picha
SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA (SABABU ZA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO)

Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.
picha
DALILI ZA UJAUZITO KICHEFU CHEFU, KUTAPIKA, HEDHI, DAMU UKENI, KUJOJOAKOJOA N.K (MIMBA CHANGA, MIMBA YA WIKI MOJA, MIMBA YA MWEZI MMOJA )

DALILI KUU ZA MIMBA (UJAUZITO) Watu wengi sana wamekuwa wakilalamika kuwa mimba zao zinatoka, ama kupotea bila ya kujulikana tatizo wala bila ya kuugua.
picha
SIKU HATARI ZA KUPATA UJAUZITO KWA MWENYE MZUNGURUKO WA SIKU KIDONGO AU NYUNGI

SIKU YA KUPATA UJAUZITO Kawaida wanawake walio wengi mzunguruko wa siku zao ni siku 28 lakini wapo ambao ni zaidi ya hapo na wapo ambao ni chini ya hapo.
picha
NAMNA YA KUITAMBUA SIKU HATARI YA KUPATA MIMBA (UJAUZITO)

SIKU YA KUPATA UJAUZITO Mimba hutokea pindi mbegu ya kiume (sperm) inapokutana na yai la mwanamke (ova) na kuungana kwa pamoja kutengeneza selli moja iitwayo zygote.
picha
DALILI ZA TEZI DUME NA SABABU ZA KUTOKEA KWA TEZI DUME.

dalili za ugonjwa wa tezi dume, na sababu za kutokea kwa tezi dume, maana ya tezi dume na athari zake
picha
MWANAUNE ANAPATAJE FANGASI KWENYE UUME

Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake
picha
NINI HUSABABISHA MAUMIVU YA UUME

Kama uume wako unauma ama unahisi kuwa unaunguza ama kuchoma choma, post hii imekuandalia somo hili.
picha
DALILI ZA UCHUNGU KWA MAMA MJAMZITO

Makala hii itakwenda kukufundisha baadhi ya dalili za uchungu kwa mama mjamzito.
picha
FAIDA ZA TENDO KA NDOA WAKATI WA UJAUZITO

Kufanya tendo la ndoa wakati wa ujauzito kina faida nyingi kwa mama na mtoto. Miongni mwa faida hizo ni kuimarisha mfumo wa kinga wa mama, kumuondolea stress na ukuajinmzuri wa mimba
picha
SABABU ZA KUTOKEA KWA SARATANI YA MATITI

Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti
picha
NINI HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume
picha
NJIA ZA KUONDOA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

Makala hii itakujuza baadhi ya njia utakaoweza kuzifuata ili kukabiliana na fangasi sehemu za siri kwa wanaume
picha
FAHAMU DALILI ZA MAPACHA WALIO UNGANISHWA

Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda watu wawili. Ingawa fetusi mbili zitakua kutoka kwa kiinitete hiki, zitabaki zimeunganishwa mar
picha
DAWA HATARI KWA MWENYE UJAUZITO

Hii ni orodha ya dawa ambazo hutumiwa sana na watu kutoka maduka ya dawa lakini sio salama kwa wajawazito.
picha
MADHARA YA KIAFYA YA KUPIGA PUNYETO

Post hii inakwenda kukutania madhara ya kuoiga punyeto kwa afya yako.
picha
JINSI YA KUACHA KUPIGA PUNYETO.

Post hii inakwenda kukupa njia za kukusaidia kuacha punyeto.
picha
NINI HUSABABISHA UKE KUWA MKAVU

Post hii inakwenda kukupa sababu zinazoweza kupelekea uke kuwa mkavu yaani kukosa majimaji wakati wa kufanya tendo la ndoa.
picha
NI ILI SABABU YA KUTOKEA KWA TEZI DUME

Tezidume ni moja ya magonjwa hayari yanayotokea katika mwili wa mwanaume.Hapa nimekuandalia sababu za kutokea kwa tezi dume.
picha
DALILI ZA MIMBA YA MTOTO WA KIUME AMA MTOTO WA KIKE

Posti hii inakwenda kukueleza jinsi ya kuwjuwa kama mtoto ni wa kike ama wa kiume.
picha
DALILI ZA MIMBA YA WATOTO MAPACHA

Makala hii itakwenda kukupa dalili ambazo zinaonyesha kuwa mimba ni ya mapacha. Dalili hizi zitahitajika kuthibitishwa na kipimo cha daktari ili kujuwa kuwa ni kweli.
picha
FAHAMU KUHUSU MAPACHA WANAOFANANA

Post hii inahusu zaidi watoto mapacha wanaofanana,ni watoto wanaozaliwa wakiwa wanaofanana kwa sura na hata group la damu huwa ni Moja.
picha
FAHAMU DAWA YA TETRACYCLINE KATIKA KUPAMBANA NA BAKTERIA

Post hii inahusu zaidi dawa ya tetracycline katika kupambana na bakteria,ni mojawapo ya antibiotics au anti bacteria ambayo upambana na bakteria kama tutakavyoona hapo mbeleni.