TAJWID

picha
NI IPI AYA YA MWISHO KUSHUKA KATIKA QURAN?

Maulamaa katika elimu ya Quran wametofautiana juu ya aya ya mwisho kushuka. Hata hivyo hapa nitakutajia ambayo imependekezwa zaidi
picha
SWALA YA ISTIKHARA NA JINSI YA KUISWALI

Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu swala ya Istikhara
picha
NINI MAANA YA QURAN

Post hii inakwenda kukuambia maana ya Quran
picha
MDA WA MWISHO WA KULA DAKU MWEZI WA RAMADHANI

Post hii fupi itakwenda kukujulisha utaratibu wa kula daku.
picha
UANDISHI WA HADITHI WAKATI WA MATABIINA

Historia ya uandishi wa hadithibwakati wa Matabiina, yaani wafuasi wa maswahaba
picha
AINA SABA ZA VIRAA VYA USOMAJI WA QURAN

Post hii inakwenda kukuorodheshea aina saba za viraka vya usomaji wa Quran.
picha
HISTORIA YA IMAMU BUKHARY MUANDISHI WA HADITHI ZA MTUME S.SA. W

Hii ni historia ya Imamu Bukhary pamoja na kitabu chake cha sahihul Bukhari.
picha
UANDISHI WA HADITHI WAKATI WA MATABII TABIINA (TABIITABIINA)

Hii ni historia ya uandishi wa hadithi wakati wa tabii tabiina. Yaani wafuasi wa wale wafuasi wa Masahaba
picha
UANDISHI WA HADITHI WAKATI WA MASWAHABA

Nini kilichangia ongezeko la uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba.
picha
NAFASI YA SUNNAH (SUNA) KATIKA UISLAMU.

Hapa utajifunza nafasi ya kufuata suna katika Uislamu
picha
MAANA YA SUNNAH (SUNA) NA MAANA YA HADITHI

Post hii itakufundisha maana ya neno sunnah katika Uislamu. Pia utajifunza maana ya neno hadithi katika uislamu
picha
SIFA ZA WAUMINI WA UKWELI KATIKA UISLAMU

Je unamjuwq ni nani muumini, na ni zipi sifa za muumini?
picha
KWA NINI MWANADAMU HAWEZI KUISHI BILA DINI?

Mwanadamu hawezi kuishi bila dini, kwani dini imekusanya mfumo mzima wa maisha yake.
picha
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA MAANA YA DINI

Uislamu unaitazama dini katika nyanja zote za maisha ya mwanadamu. Hii ni tofauti na mtazamo wa kikafiri juu ya dini.
picha
MTAZAMO WA KIKAFIRI JUU YA MAANA YA DINI.

Maana ya dini kwa mujibu wa makafiri ina utofauti mkubwa na vile ambavyo uislamu unaamini kuhusu dini.
picha
NI IPI ELIMU YENYE MANUFAA

Elimu inaweza kugawanyika katika makundibmrngine mawili ambayo ni elimu yenye manufaa na elimubisiyi na manufaa
picha
MGAWANYIKO WA ELIMU KATIKA MTAZAMO WA UISLAMU

Katika Uislamu elimu imegawanyika katika Elimu ya muongozo na elimu ya mazingira.
picha
MGAWANYIKO WA ELIMU KWA MTAZAMO WA KIKAFIRI

Kwa mtazamo wa kikafiri elimu imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Elimu ya dunia na Elimu ya akhera.
picha
VIPI ALLAH HUWASILIANA NA WANADAMU KWA KUPITIA NJIA YA MAANDISHI

Allah hutumia maandishi kuwafundisha wanadamu. Mfano mzuri ni nabii Musa ambaye alipewa vibao vya maandishi.
picha
KWA NAMNA GANI ALLAH HUWASILIANA NA WANADAMU KWA KUPITIA NDOTO.

Ndoto za kweli ni moja kati ya njia ambazo Allah huwasiliana na wanadamu.
picha
JIFUNZE NI KWA NAMNA GANI MALAIKA WALIWEZA KUWASILIANA ANA MANABII MALIMBALI

Wakatibmeingibe Allah anapotaka kuwasiliana na wanadamu hutuma Malaika wake.
picha
KWA NAMNA GANI NABII MUSA NA BI MARIAM WALIWEZA KUZUNGUMZA NA ALLAH NYUMA YA PAZIA

Nabii Musa na Mama yake nabii Isa bi Mariam waliweza kuwasiliana na Allah nyuma ya pazia.
picha
NI NINI MAANA YA ILHAMU KATIKA UISLAMU?

Ilhamu ni moja katika njia ambazo Allah huwasiliana na wanadamu na kuwafundisha mambo mablimbali.
picha
NJIA AMBAZO ALLAH HUFUNDISHA WANADAMU ELIMU MBALIMBALI

Ni kipi chanzo cha Elimu, na ni kwa namna gani Allah hufundisha Elimu kwa wanadamu?
picha
KWA NINI UISLAMU UMEIPA ELIMU NAFASI YA KWANZA

Elimu imepewa nafasi kubwa sana katika uislamu.
picha
NAFASI YA ELIMU KATIKA UISLAMU

Elimu imepewa kipaumbele kikubwa kwenye uislamu. Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nafasi ya Elimu katika uislamu.
picha
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA ELIMU, NINI MAANA YA ELIMU NA NANI ALIYE ELIMIKA.

Ni nini maana ya Elimu na ni nani aliye elimika? Uislamu una mtazamo gani juu ya Elimu?
picha
AINA ZA MADD FAR-IY

Mada zipo katika makundi mawili ambayo ni madda far-iy na mdada twab-iy.
picha
AINA ZA MADDA TWABIY KWENYE USOMAJI WA QURAN

Madda zimegawanyika katika maeneo makuu mawili ambayo ni madda twabiy na madda fariy
picha
HUKUMU ZA WAQFU NA IBTIDA

waqfu ni misimamo ambapo msomaji wa Quran anaruhusiwa kusimama, kuhema au kumeza mate. Na ibtidai ni kuanza baada ya kutoka kwenye waqf
picha
HUKUMU ZA IDH-HAR NA ID-GHAM KATIKA LAAM AL-MAARIFA

Laam al- maarifa inaweza kusomwa kwa idgham au idh-har pindibitakapokutana na herufi za shamsiya au qamariya.
picha
HUKUMU YA TAFKHIM NA TARQIQ KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Tarqiq ni kuisoma herufi kwa kuipa wepesi na tqfkhim ni kuisoma herufi kwa kuipa uzito.
picha
MAANA YA QALQALA NA AINA ZAKE KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Qalqala imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Qalqalatul qubra yaani qalqala kubwa na qalqalat as shughura yaani qalqala ndogo.
picha
MAANA YA QALQALA NA AINA ZAKE KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Qalqala imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Qalqalatul qubra yaani qalqala kubwa na qalqalat as shughura yaani qalqala ndogo.
picha
MAANA YA IDGHAM NA AINA ZAKE KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Aina za idgham ni idgham al mutamathilain, na idgham al mutajanisain
picha
HUKUMU ZA MIM SAKINA NA TANWINKWENYE HUKUMU ZA TAJWID

Hukumu za kim sakina na tanwin ni idgham shafawiy, idh-har shafawiy, na Ikhfau shafawiy
picha
HUKUMU YA IKHFAU KATIKA TAJWID

Ikh-fau ni moja ya hukumu za nun sakina na tanwin kwenye hukumu za Quran tajwid
picha
MAJINA YA VIJANA WA PANGONI

Makala hii inakwenda kukutajia majina ya vijana saba wa pangoni
picha
FADHILA ZA KUSOMA SURAT AL IMRAN

Post hii itakufundisha fadhila na faida za kusoma surat al Imran
picha
FADHILA ZA KUSOMA SURAT AL BAQARAH

Surat al Baqarah ni katika sura ambazo tunapaswa tuwe tunasoma mara kwa mara. Post hii itakufundisha kuhusu fadhila za sura hii.
picha
FADHILA ZA KUSOMA SURAT AL FATIHA (ALHAMDU)

Post hii inakwenda kufundisha fadhila na faida za kusoma Alhamdu.
picha
FADHILA ZA KUSOMA QURAN NA UMUHIMU WA KUSOMA QURAN

Unazijua faida za kusoma Quran, na je ni faida gani utapata ukisoma Quran?
picha
NINI MAANA YA IQLAB KATIKA HUKUMU ZA TAJWID

Hapa utajifunza maana ya iqlab katika usomaji wa Quran kwa tajwid
picha
MAKUNDI YA ID-GHAMU KATIKA USOMAJI WA QURAN TAJWID

Kama tulivyoona kuwa id-ghamu ipo katika aina kuu mbili ambazo ni id-ghamu bighunnah na id-ghamu bighair ghumnah. Sasa hapa tutajifunza makundi mengine ya idhgamu.
picha
JE WAISLAMU WALISHINDWA VITA VYA UHUDI?

Katika vita vya Uhudi waislamu walikufa wengi kulinganisha na makafiri. Lakini makafiri walikimbia uwanja wa vita baada ya kuzidiwa. Je ni nanibalishindwa vita vya Uhudi kati ya waislamu na makafiri?
picha
NI NINI MAANA YA ID-GHAM KATIKA HUKUMU ZA TAJWID

Hapa utajifunza kuhusu maana ya id-ghamu na aina zake.
picha
NI NINI MAANA YA IDH-HAR KATIKA USOMAJI WA QURAN

Hapa utajifunza kuhusu hukumu ya Idh-har katika usomaji wa Quran.
picha
NI ZIPI HUKUMU ZA NUNI YENYE SAKINA AU TANWIN?

Hapa utajifunza usomaji wa Quran pindi utakapokuta nuni yenyebsakina au tanwin
picha
HUKUMU ZA TAJWID KATIKA USOMAJI WA BISMILLAH (BASMALAH)

Hapa utajifunza kanuni za tajwid katika kusoma bismillah au basmalah.
picha
FAIDA ZA KUJUWA QURAN TAJWID

Hapa nitakufindisha faida za kusoma quran kwa Tajwid.
picha
VIRAA SABA NA HERUFI SABA KATIKA USOMAJI WA QURAN

Ni zipi hizo herufi saba, na ni vipi viraa saba katika usomaji wa Quran
picha
FADHILA ZA KUSOMA SURAT AL KAHAF SIKU YA IJUMAA

Je unajuwa ni kwa nini unatakiwa usikose kusoma surat al Kahaf siku ya ijumaa. Makala hii itakujibu swali hili
picha
AINA ZA USOMAJI WA QURAN

Je kuna aina ngapi zabusomaji wa Quran
picha
NI NINI MAANA YA TAJWID, NA NI IPI NAFASI YAKE KWENYE UISLAMU

Hapa utajifunza maana ya Tajwid kilugha na kisheria. Pia nitakujuza jukumu ya kusoma tajwid.
picha
MZAZI NA MSAFIRI NA MWENYE KUDHULUMIWA DUA ZAO HUJIBIWA KWA HARAKA

Wapo watu kadhaa ambao waliomba dua hazirudi. Hapa nitakueleza wawili ambao ni mzazi na msafiri.
picha
HAKI ZA MUISLAMU KWA MUISLAMU MWENZIWE

Hizi ndio haki kuu tano unazopasa kumpatia Muislamu mwenzio.
picha
FADHILA ZA KUJENGA MSIKITI

Kuna malipo makubwa kwa ambaye amejenga msikiti kwa ajili ya kuoatavradhi za Allah.
picha
SABABU ZA KUSHUKA KWA SURAT DHUHA

Sura hii imetermka Makkah na ina aya 11. Sura hii ni moja ya sura ambazo zimeshuka mwanzoni wakati ambapo Mtume ameanza kazi ya utume.
picha
UZURI WA BENKI ZA KIISLAMU

Kwa nini benki za kiislamu ni bora kuliko benki nyingine?
picha
MIFUMO YA BENKI YA KIISLAMU.

Hapa utajifunza njia ambazo nenk ya kiislamu hutumia ili kujiendesha
picha
TARATIBU ZA KUMILIKI HISA NA MALI YA SHIRIKA

Katika Uislamu kuwa na hisa kwenye mali inaruhusiwa. Hapa utajifunza taratibu za kumiliki hisa.
picha
UFUMBUZI WA TATIZO LA RIBA.

Uislamu ndio dini pekee ambayo inatoa ufumbuzi juu ya suala la riba.
picha
NI KWA NINI RIBA IMEHARAMISHWA KWENYE UISLAMU

Hapa utajifinza uharamu wa riba na sababu za kuharamishwa kwake.
picha
MADHARA YA RIBA KWENYE JAMII

Haya ni madhara ya riba katika jamii. Ni kwa namna gani jamii inadhurika kutokana na riba?
picha
MIFUMO YA BENKI NA KAZI ZAKE

Hapa utajifunza kazi za benki.
picha
UISLAMU UNAVYOKEMEA TABIA YA OMBAOMBA

Uislamu umekataza tabia ya kuombaomba kama ndio njia ya kuendesha maisha. Pia ukaweka suluhisho la kukomesha tabia hiyo
picha
NJIA HARAMU ZA UCHUMI.

Njia hizi ni haramu katika kukuza uchumi wako.
picha
MGAWANYIKO KATIKA KUITUMIA MALI UNAYOMILIKI

Unajuwa namna ambavyo matumizi ya mali yako, yanavyogawanywa? Jifunze hapa mgawanyiko wa mali yako.
picha
HAKI YA KUMILIKI MALI NA MIPAKA YAKE KATIKA UISLAMU

Je unaijuwa mipaka yako katika kumiliki mali. Ama unajuwa haki zako katika mali inayomiliki. Endelea na somo
picha
AINA YA BIASHARA ZILIZO HARAMU KWENYE UISLAMU

Hapa utajifunza aina za biashara ambazo ni haramu.
picha
USAWA NA UHURU WA KUCHUMA MALI KATIKA UISLAMU

Uchumi wa uislamu umeweka taratibu mbalimbali katika kuchuma mali.
picha
NAFASI YA SERIKALI KATIKA UGAWAJI

Serikali ina nafasi katika kufanya mgawanyiko katika uchumi.
picha
JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUZUIA DHULUMA

Serikali ina nafasi kubwa katika kuzuia dhulma na kufanya uchumibuwe huru kuyokana na dhulma.
picha
SERA YA UCHUMI KATIKA UISLAMU

Hapa utajifunza sera za kiuchumi katika uchumi wa kiislamu. Hapa utajifunza sera kuu tatu za uchumi wa kiislamu.
picha
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KATIKA KUJENGA UCHUMI WA KIISLAMU

Nazingatio muhimu katika uchumi unaofuata sheria za kiislamu.
picha
UMUHIMU WA UCHUMI KATIKA UISLAMU

Post hii itakufundisha faida na umuhimu wa kijenga uchumi katika jamii ya kiislamu.
picha
TARATIBU ZA KUFANYA KAZI NA KUAJIRI KATIKA UISLAMU

Post hii itakufundisha taratibu za kuajiri, kufanya kazi na malipo.
picha
DHANA YA KUMILIKI RASLIMALI KATIKA UISLAMU

Ni ipi raslimali ya halali kuimiliki katika uislamu.
picha
TOFAUTI YA UCHUMI WA KIISLAMU NA UCHUMI WA KIKAFIRI

Uchumi wa kiislamu unatofautiana sana na uchumi wa kikafiri. Hapa utajifunza tofauti hizo.
picha
NADHARIA YA UCHUMI WA KIISLAMU

Dhana ya uchumi wa kiislamu imejegwa jui ya ukati na kati. Dhana hii imetofautiana sana na dhana nyinginezo kama ubepari na ujamaa.
picha
NI NINI MAANA YA UCHUMI KATIKA UISLAMU

Katikabuislamu dhana ya uchumi imetofautiana na dhana ya kidunia hivi leo ambapo kamari na riba ni moja ya vitu muhimu katika uchumi.
picha
NI UPIBUTARATIBU WA KUINGIA EDA NA KUTOKA EDA

Katika uislamu hakuna sheria ya mwanamke kuingizwa eda na kutolewa eda kama ilivyozoeleka. Endelea na post hii ujifunze zaidi
picha
TARATIBU ZA EDA YA KUFIWA KATIKA UISLAMU

Hapa utajifunza taratibu za kukaa eda kwa mwanamke ambaye amefiwa na mume.
picha
TARATIBI ZA MALEZI YA WATOTO WADOGO BAADA YA TALAKA KATIKA UISLAMU

Endapo mke na mume wameachana na hali ya kuwa mke ana watoto wachanga. Je uislamu unasemaje kuhusu taratibu za malezi?
picha
NI IPI HUKUMU YA KUTOA TALAKA HALI YA KUWA UMELAZIMISHWA AU UKIWA UMERUKWA NA AKILI

Endapo mtu atamuacha mke pasi na ridhaa yake yaani amelazimishwa ama amemuwacha wakati amerukwa na akili. Je ni ipo hukumu yake.
picha
HUKUMU YA TALAKA ILIYOTOLEWA KABLA YA TENDO LA NDOA

Endapo mtu atamuacha mke wake kabla hata ya kukutana kimwili, basi talaka hii itahukumiwa kwa namna hii.
picha
TARATIBU ZA KUTALIKI KATIKA UISLAMU.

Hapa utajifunza taratibu zinazofuatwa wakati wa kukusudia kumuacha mke. Pia utajifunza sababu za kiwepo kwa eda baada ya kuachwa mwanamke.
picha
AINA MBILI ZA TALAKA ZISIZO NA REJEA KATIKA UISLAMU

Huwezi kuruhusiwa kumrejea mke endapo utamuacha kwa talaka hizi mbili.
picha
ZIJUWE AINA KUU 6 ZA TALAKA KATIKA UISLAMU

Talaka zimegawanyika katika makundi mengi. Katika somo hili utakwenda kukifunza aina kuu za talaka katika uislamu.
picha
JE NI NANI MWENYE HAKI YA KUTALIKI

Hapabutajifunza endapp mwanamke anahitaji kuachwa ni nini anatakiwa afanye.
picha
JINSI YA KUFANYA SULUHU KATI YA MUME NA MKE.

Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi ya kufanya suluhu katika ndoa.
picha
NI NINI MAANA YA TALAKA KATIKA UISLAMU

Post hii inakwenda kukufundisha maana ya neno talaka katika uislamu kisheria na kilugha.
picha
JE NI KWA NINI LENGO LA FINGA HALIFIKIWI KWA WAFUNGAJI

Lengo la funga ni kuwa mchamungu sasa ni kwa nini wafungaji hawalifikii lengo hili na kuwa wachamungu.
picha
VIPI UTAPATA UCHAMUNGU KUPITIA FUNGA

Vipi lengo la funga litafikiwa na kumfanya mfungaji awe mchamungu.
picha
HILI NDIO LENGO LA KUFUNGA.

Ni kwa nini Allah ametutaka tugunge. Je kuna lengo gani hasa katika kufunga.
picha
SIKU AMBAZO HAZIRUHUSIWI KUFUNGA

Ni haramu kufunga katika masiku haya. Na endapo utafunga basi funga haitakuwa na malipo.
picha
JINSI YA KUTEKELEZA FUNGA ZA SUNNAH

Hapa utajifunza muda wa kutia jia katika funga za sunnah. Pia utajifunza kuhusu uhuru ulio nao
picha
ZIJUWE FUNGA ZA SUNNAH NA JINSI YA KUZIFUNGA

Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu funga za sunnah na jinsi ya kuzigunga.
picha
ZIJUWE FUNGA ZA KAFARA NA JINSI YA KUZIGUNGA

Post hii itakufundisha kuhusu funga za kafara, zinavyotokea na na jinsi ya kuzifunga.
picha
JINSI YA KUSHEREHEKEA SIKU YA IDI KATIKA UISLAMU

Uislamu umeweka taratibu maalumu za kuzifata katika kusherehekea siku ya idi.