PYTHON

picha
PYTHON SOMO LA 12: ASSIGNMENT OPERATOR, LOGICAL OPERATOR, IDENTITY OEPRATOR NA MEMBERSHIP OPERATOR

Katika somo hili utakwenda kujfunza operator nyingine kama assignment operator logical, identity operator na membership operator.
picha
PYTHON SOMO LA 11: MATUMIZI YA COMPERISON EPERATOR KATIKA PYTHON

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator. Hasa hapa tutakwend akujifunz akuhusu comparison operaor.
picha
PYTHON - SOMO LA 10: STRING METHOD NA ZINAVYOFANYA KAZI

Katika somo hili utakwenda kujfnza kuhusu string method nyinginezo. Katika somo lililopita tulijifunza kuhusu string indexing.
picha
PYTHON - SOMO LA 9: INDEXING KATIKA STRINFG

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu string indexing. Kama tulivyojifunza kuhusu namba katika somo lililopita, basi hapa tutakwenda kucheza na string.
picha
PYTHON - SOMO LA 8: METHOD ZA NAMBA ZINAZOTUMIKA KWENYE PYTHON

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu number method yaani function zinazofanya kazi kwenye namba.
picha
PYTHON - SOMO LA 7: JINSI YA KUBADILI AINA YA DATA

Katika soo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubaduli aina moja ya data kwena aina nyingine. Kwa mfano unaweza kubadili namba kuwa string ama kubadili string kuwa nanda ama kubadili float kuwa int.
picha
PYTHON - SOMO LA 6: JINSI YA KUJUWA AINA YA DATA ILIYOTUMIKA

Katika somo hili utajifunza jisni ya kujuwa aina ya data iliyotumika kwenye python
picha
PYHON - SOMO LA 5: AINA ZA DATA LIST, TURPLE, DICTIONARY NA BOOLEAN

Katika somo hili tunakwenda kujifunza aina nyingine za data ambazo hutumika kwenye python.
picha
PYTHON - SOMO LA 4: AINA ZA DATA KWENYE PYTHON

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye python. hapa utajifunza aina kuu 3 za data.
picha
PYTHON - SOMO LA 3: JINSI YA KUANDIKA VARIABLE KWENYE PYTHON

Katika somo hili utajifunza maana ya variable, na sheria za kutengeneza variable kwenye python. Pia utajifunza maneno ambayo hayafai kutumiwa kama variable
picha
PYTHON - SOMO LA 2: SHERIA ZA UANDISHI WA PYHTON YAANI SYNTAX ZA PYTHON

Katika somo hili utakwenda kujifunza syntaxy za python yaani sheria na kanuni za kuandika code za python
picha
PYTHON - SOMO LA 1: JINSI YA KU INSTALL PYTHON

Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya python na kazi zake. pia jinsi ya kuandaa kifaa chako kwa ajili ya somo.