AFYA

picha
VYAKULA VYA KUONGEZA MAZIWA KWA MAMA ANAYENYONYESHA

Post hii itakwenda kukufundisha vyakula ambavyo ni vizuri kwa mwanamke anayenyonyesha ili kumsaidia kupata maziwa kwa wingi.
picha
UGONJWA WA MALARIA DALILI ZAKE NA CHANZO CHAKE.

Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake.
picha
CHANZO CHA TEZIDUME, DALILI ZAKE NA TIBA ZAKE.

Post hii inakwenda kukufunza mambo mengi kuhusu tezi dume kama chanzo, dalili, matibabu, njia za kujikinga na mambo hatari yanayoweza kukusababishia kupata tezi dume.
picha
NINI HUSABABISHA MTOTO KUKOSA MAJI KABLA YA KUZALIWA?

inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto.
picha
UJUWE UGONJWA WA GOUT NA ATHARI ZAKE MWILINI

Post hii itakwenda kuzungumzia ugonjwa wa gout unaosababishwa na ongezeko la asidi mwilini.
picha
MADHARA YA TUMBAKU NA SIGARA

Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji
picha
HIZI NI KAZI ZA MAPAFU MWILINI

Makala hii itakwenda kukufundisha kazi 5 za maafu mwilimi. Wengi tunajuwa tu kuwa mapafu yanafanya kazi ya kupumuwa. ila si hivyo tu yapo mengi zaidi.
picha
DALILI, CHANZO, SABABU NA VMAMBO HATARI KUHUSU KIFUA KIKUU

Katika makala hii utajifunza kuhusu kifua kikuu, dalili zake, sababu zake, chanzo chake na mambo hatari kwa mgonjwa.
picha
AINA 20 ZA VITAMINI, KAZI ZAKE, VYANZO VYEKE NA MADHARA YA UPUNGUFU WAKE

Katika post hii utakwenda kujifunza aina 20 za vitamini. Utajifunza kazu zake mwilini, vyanzo vyake na madhara yanayoweza kutokea kutokana na upungufu wake.
picha
NINI HUSABABISHA KORODANI MOJA KUWA KUBWA KULIKO NYINGINE

kama pumbu moja ni kubwa uliko jingine post hii ni kwa ajili yako. Hapa tutakwend akuangalia vinavyoweza kusababisha korodani moja kuw akubwa zaidi ya lingine
picha
MALEZI YA MTOTO MCHANGA NA MAMA MJAMZITO

Post hii itakwenda kukuletea mambo kadhaa yanayohusiana na malezi bora ya mama mjamzito na mtoto mchanga
picha
UGONJWA WA VITILIGO, CHANZO, DALILI NA MATIBABU YAKE

Katika post hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa vitiligo, chanzo chake, dalili zake na matibabu yaje
picha
DALILI ZA KUHARIBIKA KWA MIMBA

Katika post hii utajifunza ishara na dalili ninazoonyesha kuwa mimba ipo hatarini kutoka ama inaweza kuwa imeshatoka.
picha
JINSI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

Post hii itakwenda kukuletea orodha ya vyakla vinavyoaminika kuongeza nguvu za kiume.
picha
MADHARA YA KULA CHAKULA CHENYE CHUMVI NYINGI

Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi
picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA SAMAKI

Posti hii itakwenda kukupa faida za kula samaki kwenye mwili wako.
picha
FAIDA ZA KULA KARANGA MBICHI

Post hii inakwenda kukupa faida kuu 5 za kula karanga mbichi katika afya ya mwili wako.
picha
FAIDA 5 ZA ASALI NA MATUMIZI YAKE.

Katika post hii utakwenda kujifunza faida na matumizi ya asali mwilini.
picha
JE UNAIJUWA UGONJWA WA BAWASIRI

Katika post hii nitakwenda kukujuza kuhusu ugonjwa wa bawasiri
picha
MWANAUNE ANAPATAJE FANGASI KWENYE UUME

Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake
picha
AINA ZA AJALI KWENYE KIFUA,

Post hii inahusu Zaidi aina za ajali kwenye kifua,pamoja na kifua kuwa na sehemu mbalimbali na pia na ajali ambazo utokea Huwa za aina mbalimbali kama tutakavyoona.
picha
FAHAMU AJALI AMBAZO UTOKEA KWENYE KIFUA

Post hii inahusu Zaidi ajalia ambazo utokea kwenye kifua Kwa kitaalamu huitwa chest injury,Kwa kawaida kwenye kifua kua sehemu mbalimbali kama vile mapafu,moyo,koo na sehemu mbalimbali, sehemu hizi uweza kupata ajali na kusababisha madhara makubwa,Kwa hiy
picha
NINI HUSABABISHA MAUMIVU YA UUME

Kama uume wako unauma ama unahisi kuwa unaunguza ama kuchoma choma, post hii imekuandalia somo hili.
picha
MADHARA YA KUWEPO KWA USAHA KWENYE MAPAFU

Post hii inahusu Zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea Kwa mgonjwa mweye usaha kwenye mapafu.
picha
NJIA ZA KUGUNDUA TATIZO LA KUWEPO KWA USAHA KWENYE MAPAFU

Post hii inahusu Zaidi njia mbali mbali ambazo uweza kitumiwa na wataalamu ili kuweza kugundua tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu.
picha
DALILI ZA KUWEPO KWA USAHA KWENYE MAPAFU

Post hii inahusu Zaidi dalili za kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu, ni dalili ambazo zinaweza kujitokeza Kwa mgonjwa,Kwa hiyo baada ya kuona dalili hizi mgonjwa anapaswa kuwahi hospital mara moja Kwa ajili ya matibabu.
picha
DALILI ZA UKIMWI KWA MWANAUME

Katika post hii utakwenda kujifunza zaidi khusu dalili za ukimwi ama HIV kwa wanaume
picha
DALILI ZA MWANZO ZA UKIMWI KWA MWANAMKE

Katika makala hii utakwenda kuzijuwa baadhi ya dalili za ukimwi ama HIV kwa mwanamke
picha
DALILI ZA UCHUNGU KWA MAMA MJAMZITO

Makala hii itakwenda kukufundisha baadhi ya dalili za uchungu kwa mama mjamzito.
picha
WALIO KWENYE HATARI YA KUPATA USAHA KWENYE MAPAFU

Post hii inahusu Zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata usaha kwenye mapafu, pamoja na kuwepo Kwa sababu zinazopekekea kupata tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu ila Kuna watu wenye hali Fulani wako kwenye hatari ya kupata usaha kwenye mapafu kama
picha
TATIZO LA MAPAFU KUWA NA USAHA.

Post hii inahusu Zaidi tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu,ni tatizo ambalo usababishwa na bakteria ambao uingia kwenye mapafu na kusababisha madhara na hatimaye mapafu kuwa na usaha .
picha
FAIDA ZA TENDO KA NDOA WAKATI WA UJAUZITO

Kufanya tendo la ndoa wakati wa ujauzito kina faida nyingi kwa mama na mtoto. Miongni mwa faida hizo ni kuimarisha mfumo wa kinga wa mama, kumuondolea stress na ukuajinmzuri wa mimba
picha
SABABU ZA KUTOKEA KWA SARATANI YA MATITI

Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti
picha
DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA KIZUKARI

ugonjwa wa kisukari ni moja katika magonjwa hatari sana, na mpaka sasa bado hauna matibabu ya kuponya moja kwa moja
picha
MADHARA YA MAFUTA MENGI MWILIMI

Post hii itakufundisha madhara ya kuwa na mafuta mengi mwilimi
picha
FAIDA ZA KITUNGUU THAUMU MWILINI

Makala hii itakuletea faida za kitunguu thaumu katika afyabyako.
picha
NINI HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume
picha
VYAKULA HATARI KWA AFYA YA MOYO

Hivi ni vyakula hatari kwa watu wenye maradhi ya moyo. Vyakula hivi si salama kwa afya ya moyo
picha
NJIA ZA KUONDOA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

Makala hii itakujuza baadhi ya njia utakaoweza kuzifuata ili kukabiliana na fangasi sehemu za siri kwa wanaume
picha
FAIDA ZA KAFYA ZA KULA ASALI

Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
picha
NINI HUSABABISHA KIBOFU CHA MKOJO KUUMA NA BAADAE KUTOKA DAMU

Katika post hii utajifunza sababu zinazowezabkuorlekea kibofu kuuma upande mmoja
picha
NI KATIKA KIUNGO KIPI CHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA VIRUTUBISHO HUFONZWA?

Post hii itakupa elimu kuhusu mfumo wa mmrng'enyobwa chakula unavyo fanyankazi
picha
AINA ZA VYAKULA AMBAYO HUONGEZA DAMU KWA WAJAWAZITO NA WATOTO

Hizi ni aina za vyakula ambavyo husaidia katika kuongeza damu kwa wajawazito na watoto.
picha
VIJUWE VYAKULA VINAVYOONGEZA DAMU KWA HARAKA

Post hii itakufundisha aina za vyakula ambavyo vinaweza kuongeza damu kwa haraka.
picha
SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA KUKOSA CHOO (KINYESI)

Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi had
picha
FAHAMU DALILI ZA MAPACHA WALIO UNGANISHWA

Mapacha walioungana ni watoto wawili wanaozaliwa wakiwa wameunganishwa kimwili. Mapacha walioungana hukua wakati kiinitete cha mapema kinapojitenga na kuunda watu wawili. Ingawa fetusi mbili zitakua kutoka kwa kiinitete hiki, zitabaki zimeunganishwa mar
picha
FAHAMAU MADHARA YA FLAGYL (METRONIDAZOLE)

Flagyl ni nini? Flagyl (metronidazole) ni antibiotic. Inapigana na bakteria katika mwili wako. Flagyl hutumiwa kutibu maambukizo ya bakteria ya uke, tumbo, ngozi, viungo na njia ya upumuaji.
picha
FAHAMU ZAIDI KUHUSIANA NA DAWA YA MOYO DIGOXIN

Digoxin ni nini? Digoxin inatokana na majani ya mmea wa digitalis. Digoxin husaidia kufanya mapigo ya moyo kuwa na nguvu na kwa mdundo wa kawaida zaidi. Digoxin hutumiwa kutibu kushindwa kwa moyo. Digoxin pia hutumiwa kutibu mpapatiko wa atiria, ugonjw
picha
FAHAMU DAWA ITWAYO DIAZEPAM

Diazepam ni nini? Diazepam ni Dawa ambayo Huathiri kemikali kwenye ubongo ambazo zinaweza kukosa uwiano na kusababisha wasiwasi. Diazepam hutumiwa kutibu matatizo ya wasiwasi, dalili za kuacha pombe, au misuli. Diazepam wakati mwingine hutumiwa pamoja n
picha
DAWA HATARI KWA MWENYE UJAUZITO

Hii ni orodha ya dawa ambazo hutumiwa sana na watu kutoka maduka ya dawa lakini sio salama kwa wajawazito.
picha
NI BAKTERIA GANI HUSABABISHA UGONJWA WA PUMU

Post hii inakwenda kujibu swali linalosema je ni bakteria aina gani husababisha igonjwa wa pumu.
picha
YAJUWE MAGONJWA MATANO YANAYO TOKANA NA UTAPIAMLO

Post hii inakwenda kukutajia mahonjwa matano ambayo hutokana na utapia mlo.
picha
MADHARA YA KIAFYA YA KUPIGA PUNYETO

Post hii inakwenda kukutania madhara ya kuoiga punyeto kwa afya yako.
picha
JINSI YA KUACHA KUPIGA PUNYETO.

Post hii inakwenda kukupa njia za kukusaidia kuacha punyeto.
picha
VYAKULA GANI AMBAVYO SITAKIWI KULA KAMA NINA PRESSURE YA KUPANDA

Post hii itakufundisha kwa ufupi vyakula vya kuviepuka kama una presha ya kupanda.
picha
NINI HUSABABISHA UKE KUWA MKAVU

Post hii inakwenda kukupa sababu zinazoweza kupelekea uke kuwa mkavu yaani kukosa majimaji wakati wa kufanya tendo la ndoa.
picha
NI ILI SABABU YA KUTOKEA KWA TEZI DUME

Tezidume ni moja ya magonjwa hayari yanayotokea katika mwili wa mwanaume.Hapa nimekuandalia sababu za kutokea kwa tezi dume.
picha
FAIDA ZA CHUMVI MWILINI (MADINI YA CHUMVI)

Post hii inakwenda kukipa faida za madini ya chumvi mwilini.
picha
HIZI NDIO KAZI ZA MADINI MWILINI MWAKO

Post huu inakwenda kukupa orodha ya madini muhimu kwa ajili ya afya yako.
picha
VIJUWE VYAKULA VYA MADINI NA KAZI ZA MADINI MWILINI

Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini
picha
NJIA ZA KUSHUSHA PRESHA

Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.
picha
JINSI YA KUJIKINGA NA U.T.I INAYIJIRUDIA RUDIA.

Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye.
picha
DALILI ZA MIMBA YA MTOTO WA KIUME AMA MTOTO WA KIKE

Posti hii inakwenda kukueleza jinsi ya kuwjuwa kama mtoto ni wa kike ama wa kiume.
picha
DALILI ZA MIMBA YA WATOTO MAPACHA

Makala hii itakwenda kukupa dalili ambazo zinaonyesha kuwa mimba ni ya mapacha. Dalili hizi zitahitajika kuthibitishwa na kipimo cha daktari ili kujuwa kuwa ni kweli.
picha
FAHAMU KUHUSU MAPACHA WANAOFANANA

Post hii inahusu zaidi watoto mapacha wanaofanana,ni watoto wanaozaliwa wakiwa wanaofanana kwa sura na hata group la damu huwa ni Moja.
picha
AINA MBALIMBALI ZA MICHUBUKO

Post hii inahusu zaidi aina mbalimbali za michubuko,kwa Sababu michubuko utokea sehemu tofauti tofauti na pia Kuna aina mbalimbali kama tutakavyoona hapo mbeleni.
picha
SABABU ZA MICHUBUKO KWA WATOTO WANAOZALIWA

Post hii inahusu zaidi sababu za michubuko kwa watoto wanaozaliwa,ni sababu ambazo uweza kuchangia kuwepo kwa michubuko kwa watoto wanaozaliwa.
picha
FAHAMU KUHUSU MICHUBUKO KWA WATOTO WAKATI WA KUZALIWA

Post hii inahusu zaidi michubuko ambayo mara nyingi utokea kwa watoto wakati wa kuzaliwa,na mara nyingi uweza kupona baada ya masaa ishilini na manne au ndani ya masaa ishilini na manne.
picha
FAHAMU DAWA YA CAPTOPRIL KATIKA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO

Post hii inahusu zaidi dawa ya captopril katika matibabu ya magonjwa ya moyo, ni dawa ambayo imo kwenye kundi la vasodilators na ufanya Kazi mbalimbali zinazousu magonjwa ya moyo.
picha
FAHAMU DAWA YA HYDRALAZINE KATIKA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO

Post hii inahusu zaidi dawa ya hydralazine katika matibabu ya magonjwa ya moyo, dawa hii imetoka kwenye kundi la vasodilators, na pia usaidia sana kwenye matibabu ya magonjwa ya moyo.
picha
FAHAMU DAWA AMBAZO UCHANGIA KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME

Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali ambazo uchangia katika kupunguza nguvu za kiume , hii ni kwa sababu ya wataalamu mbalimbali wanavyosema
picha
FAHAMU DAWA YA KUTIBU MAUMIVU YA MGONGO (BACK NONE PAIN) NA KIUNO

Fahamu dawa ya back bone pain kwa matibabu ya mgongo, ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa kutuliza maumivu ya mgongo.
picha
FAHAMU KUHUSU DAWA YA POTASSIUM SPARING

Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
picha
IFAHAMU DAWA YA FUROSEMIDE.

Post hii inahusu zaidi dawa ya furosemide ni mojawapo ya dawa ambayo ipo kwenye kundi la diuretics na kwa jina linguine huitwa lasix
picha
FAHAMU KUHUSU KUNDI LA DIURETICS

Post hii inahusu zaidi kundi la diuretics,ni kundi mojawapo kati ya makundi ya dawa zinazosaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
picha
FAHAMU DAWA YA CARVEDILO KATIKA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO

Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine.
picha
FAHAMU KUHUSU DAWA YA PROPRANOLOL AMBAYO HUTIBU MAGONJWA YA MOYO

Post hii inahusu zaidi dawa ya propranolol katika matibabu ya magonjwa ya moyo, dawa hii ipo kwenye kundi la beta blockers na ufanya Kazi mbalimbali hasa kwa wagonjwa wa moyo.
picha
FAHAMU KUNDI LA VETA BLOCKERS KATIKA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO.

Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake.
picha
FAHAMU DAWA YA CARDIAC GLYCOSIDE KATIKA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO

Post hii inahusu zaidi dawa ya cardiac glycoside katika matibabu ya magonjwa ya moyo,dawa maalum ambayo imo kwenye kundi hili la cardiac glycoside ni digoxin, ni dawa muhimu ambayo utumika kwenye mfumo wa vidonge mara nyingi.
picha
FAHAMU KUHUSU DAWA ZA MAGONJWA YA MOYO

Post hii inahusu zaidi dawa za magonjwa ya moyo, ni dawa ambazo utumika kusaidia pale moyo kama umeshindwa kufanya kazi ipasavyo.
picha
ZIJUWE FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA NANASI

Je umeshawahi kula nanasi kwa wingi.
picha
ZIJUWE FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA ZABIBU

Kula zabibubkina faida nyingi kwa afya yako.
picha
MAAJABU YA DAMU NA MZUNGUUKO WAKE MWILINI.

Ukistaajabu ya Musa utastaajabu ya Firauni. Haya ni maneno ya wahenga. Sasa hebu njoo u staajabu ya damu
picha
CHINI YA TUMBO LANGU KUNA UCHUNGU LAKINI SI SANA SHINDA NI NI?

Nini kinasababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu?
picha
FAHAMU KAZI ZA HOMONI KATIKA KUPAMBA NA KANSA.

Post hii inahusu zaidi homoni mbalimbali ambazo upambana na kansa, hizi homoni zikitumika vizuri matokeo yake huwa na mazuri pia kwa wagonjwa wa kansa.
picha
FAHAMU KUHUSU DAWA ZA DOXORUBICIN NA DAUNORUBICIN

Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
picha
FAHAMU DAWA ZA 5-FLUOROURACIL,TEGAFUR NA URACILI

Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa.
picha
FAHAMU DAWA ZA CYCLOPHOSPHAMIDE NA MUSTARGEN.

Post hii inahusu zaidi dawa za cyclophosphamide na mustargen katika kupambana na ugonjwa wa Kansa.
picha
FAHAMU DAWA ZINAZOTUMIKA KWENYE MATIBABU YA KANSA

Post hii inahusu zaidi dawa ambazo zinatumika kwenye matibabu ya kansa, dawa hizi usaidia kuharibu seli ambazo ambazo hazistahili kwa kitaalamu huitwa malignant seli.
picha
FAHAMU KUHUSU DAWA YA ACETOHEXAMIDE

Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini.
picha
FAHAMU DAWA ZA KISUKARI

Post hii inahusu zaidi dawa za kisukari, kwa sababu ya kuwepo kwa ugonjwa wa kisukari vilevile kuna dawa zake ambazo utumika kurekebisha sukari kama imepanda au kushuka.
picha
FAHAMU DAWA ZA KUTIBU MAFUA

Post hii inahusu dawa za kutibu mafua ambazo ni cough seppessants na nasal congestion ni dawa ambazo zimependekezwa kwa ajili ya kutibu mafua.
picha
FAHAMU DAWA YA KUTULIZA MISHUTUKO.

Post hii inahusu zaidi dawa ya phenytoin,ni dawa inayotuliza mishutuko mbalimbali inayoweza kutokea kwenye mwili na kutokana na mishutuko hiyo tunaweza kupata kifafa.
picha
FAHAMU DAWA YA DIAZEPAM KATIKA KUTULIZA KIFAFA

Post hii inahusu zaidi dawa ya diazepam katika kutuliza kifafa, ni dawa ambayo matumizi yake yanaweza kuingilia pote kwenye kutuliza kifafa na pia kwa wagonjwa wa akili.
picha
FAHAMU DAWA ZA KUTULIZA KIFAFA INAYOITWA PHENOBARBITAL

Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa.
picha
FAHAMU DAWA YA HALOPERIDOL KATIKA MATIBABU YA AKILI

Post hii inahusu dawa ya haloperidol katika matibabu ya magonjwa ya akili, ni mojawapo ya dawa ambayo utumiwa na wagonjwa ambao wamechananyikiwa.
picha
FAHAMU DAWA ZA KUTULIZA MAGONJWA YA AKILI INAYOITWA CHLORPROMAZINE

Post hii inahusu zaidi dawa zinazosaidis katika kutuliza magonjwa ya akili, dawa hii kwa kitaamu huiitwa chlorpromazine ni dawa ambayo utumiwa na watu wenye tatizo la magonjwa ya akili na kwa kiasi kikubwa huwa sawa.
picha
FAHAMU KUHUSU DAWA YA MUCOLYTIC DAWA YA KUTIBU KIKOHOZI

Post hii inahusu zaidi dawa ya mucolytic katika kutibu kikohozi kwa watu wazima na watoto.
picha
FAHAMU DAWA YA KUTIBU KIKOHOZI INAYOITWA EXPECTORANT

Post hii inahusu zaidi dawa aina ya expectorant katika matibabu ya kikohozi,ni dawa ambayo usaidia au uzuia kikohozi kuendelea kutokea.
picha
IFAHAMU DAWA YA EPINEPHRINE KWA KUTULIZA ALEJI

Post hii inahusu zaidi dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji ni dawa ambayo imependekezwa kutuliza aleji kama dawa ya hydrocortisone, Prednisone hazipo au zimeshindwa kufanya kazi.