MAFUNZO YA KUTENGENEZA DESKTOP APP

MAFUNZO YA C# DESKTOP APP

Jifunze kutengeneza programu za Desktop (Windows Forms & WPF) kwa Kiswahili hatua kwa hatua.

Kwa nini ujifunze Desktop App?

  • Kutengeneza programu za biashara na ofisi
  • Kujenga mifumo ya malipo na usimamizi
  • Kutengeneza software za offline zinazotumika bila internet
  • Urahisi wa kujifunza kwa wanaoanza
  • Ujuzi unaotumika sana kwenye kampuni

Utafundishwa Nini?

  • Windows Forms Basics
  • WPF na XAML
  • Kutengeneza Login System
  • Kutumia Database (MySQL & SQL Server)
  • CRUD Operations
  • Validation na Security
  • Kujenga Project kamili ya Desktop

Maelezo ya Mafunzo

Muda

Wiki 3 (Masaa 60)

Lugha

Kiswahili

Namna

Mtandaoni (Video & Notes)

Jiunge Sasa