C# PROGRAMMING LANGUAGE

MAFUNZO YA C# - BONGO CLASS

Jifunze uundaji wa programu kwa Kiswahili na kuwa mtaalamu wa kutengeneza programu za kisasa.

Nini ni C#?

C# (C-Sharp) ni lugha ya programu iliyoundwa na Microsoft na inatumika kwenye mfumo wa .NET. Ni lugha ya object-oriented na inafanana na C++ na Java.

Kazi za C#

  • Programu za desktop
  • Programu za mtandao (ASP.NET)
  • Programu za simu (Xamarin)
  • Michezo (Unity game engine)
  • Cloud na server apps
  • AI na Machine Learning

Maelezo ya Mafunzo

Muda

Wiki 2 (Masaa 40)

Lugha

Kiswahili

Namna

Mtandaoni (Online)

Jiunge Sasa