Jinsi ya kufuta mafaili kwneye simu yako iliyopotes
Makala hii itakwenda kukujulisha jinsi ambavyo utaweza kufuta mafaili katika simu yako iliyopotea.
- Simu iwe imewashwa na iwe na Akaunti yako ya Google.
- Huduma ya eneo au mahali (Location) na kipengele cha Kitafutaji (Find My Device) vilikuwa vimewashwa kabla haijapotea.
- Tumia simu nyingine au kompyuta, kisha fungua tovuti rasmi ya Google Find My Device.
- Ingia (Sign in) kwa kutumia Akaunti yako ya Google na nenosiri ambalo lilikuwa kwenye ile simu iliyopotea.
- Ikiwa una zaidi ya kifaa kimoja, chagua simu husika unayotaka kuifutia data juu kwenye kona ya kushoto au kulia ya skrini.
- Chagua chaguo la Futa data yote kwenye kifaa (Erase Device au Factory Reset). Kumbuka: Ukifanya hivi, data yako yote itafutwa kabisa na hutaiweza kurejesha tena kwa njia ya kawaida.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Tofauti ya RAM na ROM
RAM (Random Access Memory) na ROM (Read-Only Memory) ni aina za kumbukumbu kwenye kompyuta au vifaa vya kielektroniki, lakini zina malengo na tabia tofauti.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kutengeneza QR Code
Makala hii inakuonyesha jinsi ya kutengeneza QR Code yako binafsi. Utaelewa maana ya QR Code, vifaa unavyohitaji, na hatua rahisi za kufuata ili kutengeneza alama hiyo kwa ajili ya biashara yako, namba yako ya WhatsApp, au tovuti yako. Lengo ni kukuwezesha kutumia teknolojia hii ili kurahisisha mawasiliano na shughuli zako za kila siku.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kuzima Notifications Zisizohitajika
Je, umechoka na sauti za mara kwa mara kwenye simu yako zinazokuvuruga ukiwa kazini, umelala, au unapumzika na familia? Taarifa hizi za mara kwa mara (notifications) kutoka kwenye programu (apps) kama WhatsApp, Facebook, Instagram, au michezo ya watoto zinaweza kuondoa utulivu wako. Makala hii inakufundisha kwa lugha rahisi kabisa hatua kwa hatua jinsi ya kuzima milio na ujumbe huo usiohitajika kwenye simu za Android na iPhone, ili uweze kutumia simu yako kwa amani bila usumbufu.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kurejesha Mawasiliano Yaliyofutwa
Makala haya yanakupa mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kurejesha namba za simu zilizofutwa. Tutachunguza jinsi ya kutumia huduma za akaunti ya Google (Google Contacts), kurejesha nakala rudufu (backups), na njia za kuzuia kupoteza namba zako siku zijazo.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kuhifadhi Ramani kwa Matumizi Bila Intaneti
Makala hii inaelezea umuhimu wa ramani za nje ya mtandao (offline maps). Tunaangalia jinsi ya kutumia programu maarufu kama Google Maps kuhifadhi maeneo kwenye simu yako, faida zake, na mambo muhimu ya kuzingatia ili usipotee njia ukiwa safarini. Lengo kuu ni kumpa kila mtu uwezo wa kusafiri kwa kujiamini bila kutegemea intaneti
Soma Zaidi...Utowauti wa HDD (Hard Disk Drive) na SSD (Solid State Drive)
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu HDD (Hard Disk Drive) na SSD (Solid State Drive)
Soma Zaidi...