Katika ulimwengu wa sasa unaokimbia kwa kasi, "kufanya kazi kupita kiasi" mara nyingi huchukuliwa kama sifa ya mafanikio. Hata hivyo, mwili na akili zetu sio mashine zisizochoka. Kupumzika na kuchukua likizo sio "upotevu wa muda," bali ni uwekezaji mkubwa zaidi unayoweza kuufanya ili kudumisha ubunifu, afya ya mwili, na utulivu wa ndani.
Duniani kuna aina nyingi za nyoka, lakini wachache wao ndio wanaojulikana kwa sumu kali inayoweza kuua haraka. Miongoni mwao ni Inland Taipan, King Cobra, Black Mamba, na Tiger Snake. Sumu zao huathiri mfumo wa neva, damu, au misuli ya mwili wa binadamu.
Ingawa nyoka hawana masikio ya nje kama binadamu na wanyama wengine, bado wana uwezo wa kusikia. Hutumia mifupa ya kichwa na viungo vya ndani kutambua mitetemo kutoka ardhini na mawimbi ya sauti yenye mzunguko mdogo.
Hii ni tafiti ambayo itakushangaza, kwa namna ambavyo matumizi ya AI yalivyo na athari kwenye uwezo wa kufikiri